Ubora wa simu za mkopo

MJOMBA CHAKA

Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
89
Reaction score
69
Naomba kuuliza. Hivi hizi simu zinazokopeshwa na tigo, zina ubora kiasi gani? Samsung a04
 
Kuna wanazo kopesha lakini ubara wake wakawaida sana


Alafu simu kununua cash 390,000

Marejesho yote ukilipa ni 700,000


So almost 50% interest yaani unalipa marambii ya gharama ya kununulia cash
Akili babu
 
unapata simu baadae
Unachukua simu kabisa. ila huwezi kuitumia hadi ulipie tena. kama ni kwa siku kila siku unalazimika kulipia ili ifunguke.
utaenda kwa mwendo huo hadi umalize malipo na kubakia kuwa yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…