Ubora wa simu za mkopo

Ubora wa simu za mkopo

MJOMBA CHAKA

Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
89
Reaction score
69
Naomba kuuliza. Hivi hizi simu zinazokopeshwa na tigo, zina ubora kiasi gani? Samsung a04
 
unapata simu baadae
Unachukua simu kabisa. ila huwezi kuitumia hadi ulipie tena. kama ni kwa siku kila siku unalazimika kulipia ili ifunguke.
utaenda kwa mwendo huo hadi umalize malipo na kubakia kuwa yako.
 
Back
Top Bottom