Binafsi sina shaka na wachezaji bali Plujim. Ana historia mbaya sana alivyokuwa Singida united anapocheza na Simba katika uwanja wa Mkapa. Leo hii pia pamoja na kuwa na kikosi imara na bora cha Singida big stars anaweza akashindwa kuzitumia vyema silaha zake mbele ya Simba.Hii mechi ni tamu sana atakayefanya utoto atapigika kama mbwa koko
Basi tuitakie kila la heri simba sc walau apate droo.Battle ya kati Simba hakuna mchezaji mwenye akili kumzidi kagoma
Ni the tank haswa
Umeshaanza kuvaa zile nguo zenu za akina Amina ndala ndefu rafiki?🤣🤣🤣Sawa master
Nimekusikitikia sana Aziza mtamu dah🤣🤣🙌Apo uko wrong kidogo
Umewaangalia vizuru singida now days?
Kagoma na Kelvin nashon + ndemla wamewapa balance kubwa wana posses sana
Refer mechi na team yangu AZAM waliupiga mno
Nilisema kuhusu kocha wa Singida kimbinu ni mweupe tu kichwani hata awe na wachezaji wa aina ganiWishingfull thinking
Nasisitiza arudi popote alipo.Usiukimbie huu uzi wako..
Kujifanya wewe ni "me" wakati wewe ni "ke" ni upunguani.Mkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Aziza mtamu njoo nikipakate kiduchu tu..yani kiduchu tu.Tulia zuwena wa mond
Kweli yanga wenye akili ni wawili Tu.Habari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Rudi uendeleze uharo wako.Habari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Wewe umekuaje Utopolo lazima wewe ni mazalia ya mwisho mwisho una akili kidogo kulinganisha na Utopolo wenzako.Inawezekana genetic Baba yako ni Simba.Binafsi sina shaka na wachezaji bali Plujim. Ana historia mbaya sana alivyokuwa Singida united anapocheza na Simba katika uwanja wa Mkapa. Leo hii pia pamoja na kuwa na kikosi imara na bora cha Singida big stars anaweza akashindwa kuzitumia vyema silaha zake mbele ya Simba.
Umaweza ukaukana uzi wako!Habari za mda huu wanamichezo
Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil
Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana
Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo
Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura
Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Noo mkuu, Singida watakaba saana kati hii game sababu Simba ndipo ushindi wake unapopatikana. Simba leo hawawezi kusema Saido awape matokeo sababu Singida wanajielewa, Saido ni mzuri kwa timu ambayo ni ya kawaida.
Saido na Chama leo sio rahisi kufurukuta endapo pale kati kukawa na wakabaji wawili. Singida itatumia wings zaidi sababu pale kati simba hayupo vibaya sana kwa kikosi alichonacho.
Hivi mbona mnapenda majina ya kike?Mnaficha nini?Manara alisema aitwe Ashura Cheupe,Ali Kamwe nae alidai aitwe Ashura,Saido akifikisha magoli matano?Mkishinda simba leo niite Aziza mtamu
Katika watu wanajua mpira mtoa mada nawewe upo..
kiufupi hata mimi nasubiri kuona hizo battle mfano
Kagoma vs Kanoute
Hapa kagoma anaonekana yupo form ile mbaya toka mechi za mapinduzi jamaa anakiwasha.
Bruno vs chama
Hawa haina haja ya kuwaelezea sana maana mmoja ametoka kuchukua uchezaji bora