Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Ubora wa Singida Big Stars utaiaibisha Simba SC kwa Mkapa

Hii mechi ni tamu sana atakayefanya utoto atapigika kama mbwa koko
Binafsi sina shaka na wachezaji bali Plujim. Ana historia mbaya sana alivyokuwa Singida united anapocheza na Simba katika uwanja wa Mkapa. Leo hii pia pamoja na kuwa na kikosi imara na bora cha Singida big stars anaweza akashindwa kuzitumia vyema silaha zake mbele ya Simba.
 
H vs A
IMG_20230203_182132.jpg
IMG_20230203_181758.jpg
 
Apo uko wrong kidogo

Umewaangalia vizuru singida now days?

Kagoma na Kelvin nashon + ndemla wamewapa balance kubwa wana posses sana

Refer mechi na team yangu AZAM waliupiga mno
Nimekusikitikia sana Aziza mtamu dah🤣🤣🙌
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Kweli yanga wenye akili ni wawili Tu.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Rudi uendeleze uharo wako.
 
Binafsi sina shaka na wachezaji bali Plujim. Ana historia mbaya sana alivyokuwa Singida united anapocheza na Simba katika uwanja wa Mkapa. Leo hii pia pamoja na kuwa na kikosi imara na bora cha Singida big stars anaweza akashindwa kuzitumia vyema silaha zake mbele ya Simba.
Wewe umekuaje Utopolo lazima wewe ni mazalia ya mwisho mwisho una akili kidogo kulinganisha na Utopolo wenzako.Inawezekana genetic Baba yako ni Simba.
 
Habari za mda huu wanamichezo

Kwa ninachokiona leo, Simba anaenda kupata aibu kwa Mkaba na huenda kocha akarudi tena Brazil

Naisubiri Battle ya Kagoma vs Kanoute. Ni kichekesho kagoma anaujua sana

Bruno Gomes ni sawa na Chama watatu. Sijasemea beki kitasa Abdulimajid Mangalo

Kazadi najua atatupa tu kwa ujinga wa Manura

Saa 1 ifike Sawadogo aumbuke
Umaweza ukaukana uzi wako!
 
Noo mkuu, Singida watakaba saana kati hii game sababu Simba ndipo ushindi wake unapopatikana. Simba leo hawawezi kusema Saido awape matokeo sababu Singida wanajielewa, Saido ni mzuri kwa timu ambayo ni ya kawaida.

Saido na Chama leo sio rahisi kufurukuta endapo pale kati kukawa na wakabaji wawili. Singida itatumia wings zaidi sababu pale kati simba hayupo vibaya sana kwa kikosi alichonacho.

Singida wanajielewa sio
 
Katika watu wanajua mpira mtoa mada nawewe upo..
kiufupi hata mimi nasubiri kuona hizo battle mfano
Kagoma vs Kanoute
Hapa kagoma anaonekana yupo form ile mbaya toka mechi za mapinduzi jamaa anakiwasha.
Bruno vs chama
Hawa haina haja ya kuwaelezea sana maana mmoja ametoka kuchukua uchezaji bora

Vp hizo battle zako zimekupatia majibu au bado
 
Back
Top Bottom