changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Binafsi sina shaka na wachezaji bali Plujim. Ana historia mbaya sana alivyokuwa Singida united anapocheza na Simba katika uwanja wa Mkapa. Leo hii pia pamoja na kuwa na kikosi imara na bora cha Singida big stars anaweza akashindwa kuzitumia vyema silaha zake mbele ya Simba.Hii mechi ni tamu sana atakayefanya utoto atapigika kama mbwa koko