Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]JamaniiiiSikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
Ni kweli mkuu.. na ni expirience yangu BINAFSI. Ndio maana nikasisitiza "BINAFSI".. sijui kwa wengine ila mimi nilijuta kwa kweli...[emoji23][emoji23]Jamaniiii
hii comment yako imenikata main...wakat ndo dream car yanguNi kweli mkuu.. na ni expirience yangu BINAFSI. Ndio maana nikasisitiza "BINAFSI".. sijui kwa wengine ila mimi nilijuta kwa kweli...
Nunua subaru impreza ama forester hilo unalotaka litakuliza unless uwe unaliwekea akiba kila mwezi
Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
Vanguard inakula vipi. Mie naona kawaida sanaNi gari nzuri sana vanguard inakula kuliko hii labada kaka ulitumia V6, Gari ya m25-30 usitarajie spare yake itakuwa sawa na raum bila shaka itakuwa kubwa kama unaweza kununua gari ya m30 baada ya mwaka ukiambiwa service ni m1 unalilia jua wewe ni maskini uza kanunue carina
Wadau nimevutiwa na muonekano wa hii gari nataka nijipange niagize, naomba maoni kwa wanaujua ubora na udhaifu wake tafadhali. Ina CC 1990 na ni ya mwaka 2005View attachment 1156287
akili ya kwaida tu vanguard ni cc2400 engine yake sawa na rav 4 au alphard huwezi fananisha na cc1990 ya suzuki hiyo hiyo inakula sawa na noah au rav4 old model pia suzuki ni gari zinazosifika kwa consumptionVa
Vanguard inakula vipi. Mie naona kawaida sana
Kuna issue ya kufikiria tofauti na cc. Mie naendesha vanguard ya 2012 na huko nyuma nilikuwa naendesha Noah old model. Ukweli hii vanguard inatumia mafuta vizuri zaidi ya Noah. Inawezakana issue ya technology as time goes on gari inakuwa efficientakili ya kwaida tu vanguard ni cc2400 engine yake sawa na rav 4 au alphard huwezi fananisha na cc1990 ya suzuki hiyo hiyo inakula sawa na noah au rav4 old model pia suzuki ni gari zinazosifika kwa consumption
Iko vizuri sana mkuu ila issue ni kwenye bei,hebu angalia hiyo used hapoNunua Range Rover ya 2018 ni nzuri sana
Ukweli mtupu....Ni gari nzuri sana vanguard inakula kuliko hii labada kaka ulitumia V6, Gari ya m25-30 usitarajie spare yake itakuwa sawa na raum bila shaka itakuwa kubwa kama unaweza kununua gari ya m30 baada ya mwaka ukiambiwa service ni m1 unalilia jua wewe ni maskini uza kanunue carina
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo sisi tunaomiliki Carina kumbe ni maskini.Ni gari nzuri sana vanguard inakula kuliko hii labada kaka ulitumia V6, Gari ya m25-30 usitarajie spare yake itakuwa sawa na raum bila shaka itakuwa kubwa kama unaweza kununua gari ya m30 baada ya mwaka ukiambiwa service ni m1 unalilia jua wewe ni maskini uza kanunue carina