Ubora wa Suzuki Grand vitara

Ubora wa Suzuki Grand vitara

Wdl

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
186
Reaction score
177
Wadau nimevutiwa na muonekano wa hii gari nataka nijipange niagize, naomba maoni kwa wanaujua ubora na udhaifu wake tafadhali. Ina CC 1990 na ni ya mwaka 2005
20190718_091704.jpeg
 
Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
 
[emoji23][emoji23]Jamaniiii
 
Embu tupe experience yako ya haya magari uliyotaja hasa mafuta na spare!!
Asante
Nunua subaru impreza ama forester hilo unalotaka litakuliza unless uwe unaliwekea akiba kila mwezi
 
Hata mimi huwa naielewa sana hii gari.

Nimeona review nyingi watu wanaisifia, nyingine wanapenda, basi tabu tupu.

Sema nachojua kuna V4 na V6 kwa hii gari, kwa hiyo mtu akitoa mtazamo wake atupe na specs hizo za ndani ndani.
 
Mzee ilikuwa ni V6 au V4, na ilikuwa ni cc ngapi ?
Sikushauri kama una hela ya mawazo..... BINAFSI nilipata experience mbaya sana. Spare parts bei ghali, kila siku ugonjwa mpya huko chini linagonga gonga... mafuta ni kama jini mahaba... nilijuta na kuishia kuuza kwa bei ya hasara sana...
Nakushauri jaribu vanguard.. ni much better.
 
Ni gari nzuri sana vanguard inakula kuliko hii labada kaka ulitumia V6, Gari ya m25-30 usitarajie spare yake itakuwa sawa na raum bila shaka itakuwa kubwa kama unaweza kununua gari ya m30 baada ya mwaka ukiambiwa service ni m1 unalilia jua wewe ni maskini uza kanunue carina
 
Milion 40 anayo

Va

Vanguard inakula vipi. Mie naona kawaida sana
 
Wadau nimevutiwa na muonekano wa hii gari nataka nijipange niagize, naomba maoni kwa wanaujua ubora na udhaifu wake tafadhali. Ina CC 1990 na ni ya mwaka 2005View attachment 1156287

Mkuu, jipige funga macho na nunua Suzuki Grand Vitara ya kuanzia 2010.

Zipo za 4 cylinder au V-6

Tatizo linaloua magari ni mashimo na kama waishi maeneo ya makorongo basi, ukipita humo asubuhi, mchana na jioni uju waliua gari yako kiulaini.

Ila kama off-road ni tambarare na isio na mashimo sana, basi hii gari (ya kuanzia 2010) ambayo pia ina teknolojia ya off-road basi gari hii kwa familia ya watu 4 ni gari zuri.

Angalizo:

Mwaka 2017 magari yote ya hii brand yaliitwa ili kuangaliwa tatizo la "gear shift rear shaft" kuvunjika na hivyo kupekekea ugumu wa kuweka na kubadilisha gia na kisha kusababisha ajali.

Hivyo ukinunua gari ya aina hii kuanzia 2010 basi angalia hio kitu kwa muuzaji na akupe/akuonyeshe (kwa muuzaji wa nje ya nchi) historia ya hiyo gear shift rear shaft.

Ila hii gari kati ya magari yanayodharaliwa lakini ni zuri kwa kutumia miaka 5 hadi 7 kabla ya kubadili au kuliuza tena.
 
Va

Vanguard inakula vipi. Mie naona kawaida sana
akili ya kwaida tu vanguard ni cc2400 engine yake sawa na rav 4 au alphard huwezi fananisha na cc1990 ya suzuki hiyo hiyo inakula sawa na noah au rav4 old model pia suzuki ni gari zinazosifika kwa consumption
 
Kun

Kuna issue ya kufikiria tofauti na cc. Mie naendesha vanguard ya 2012 na huko nyuma nilikuwa naendesha Noah old model. Ukweli hii vanguard inatumia mafuta vizuri zaidi ya Noah. Inawezakana issue ya technology as time goes on gari inakuwa efficient
 
Nunua Range Rover ya 2018 ni nzuri sana
Iko vizuri sana mkuu ila issue ni kwenye bei,hebu angalia hiyo used hapo
Screenshot_20190720-194317.jpeg
na hiyo ni CIF pekee ukija kulichomoa bandarini lazima zitimie sio chini ya tshs 300m...
 
Ni gari nzuri sana vanguard inakula kuliko hii labada kaka ulitumia V6, Gari ya m25-30 usitarajie spare yake itakuwa sawa na raum bila shaka itakuwa kubwa kama unaweza kununua gari ya m30 baada ya mwaka ukiambiwa service ni m1 unalilia jua wewe ni maskini uza kanunue carina
Ukweli mtupu....
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo sisi tunaomiliki Carina kumbe ni maskini.
 
Back
Top Bottom