Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
- Thread starter
-
- #21
Hujui mpira. Simba kutoa sare na Al ahly haimaanishi Al ahly ni kibonde hata kama Simba ni kibonde.Mkikutana na Al ahly ni kwenda Kwa tahadhari la sivyo mtapata aibu kama Leo Kwa Simba.
Wewe umenyosha mikono juu sio?Kisasi chetu atatulipia Al Ahly
Nguzo ya Yanga ni Aucho akicheza na Mudathir ambae Bado hajafikia ubora unaotakiwa kwa kuwahi kutoa pasi. Mudathir anacheza vizuri ila ni mzito kufanya maamuzi ya haraka!Upo sahihi kabisa na engine ya Yanga ni Aucho. Huyu ndiye roho ya Yanga.
Ulivyoandika ni kama kamari tu ambapo inaweza ikawa kinyume na mkapewa kichapo.Al ahly hana timu ya kuifunga Yanga. Labda asake sare.
Tunatunza hii risiti.Weka hii kama kumbukumbu yanga haipati kombe lolote msimu huu
Sio kwa timu hiliWewe umenyosha mikono juu sio?
Leo nimefurahi wamepigiwa mpira mwingi na magoli safi yasiyo na mbambamba.Hivi zile ball possesion azam wanazipataje??
Maana makolo leo walikua hawawezi hata kupiga pasi zikafika 5.
Save the date SIMBA/Novermber/2023
Tatu Malogooo😂😂🖐️Yanga iko vizuri. Simba wajipange sana...labda kama derby ingechezeshwa na....