Ubora wa Yanga uko hapa..

Ubora wa Yanga uko hapa..

Al ahly hana timu ya kuifunga Yanga. Labda asake sare.
Hujui mpira. Simba kutoa sare na Al ahly haimaanishi Al ahly ni kibonde hata kama Simba ni kibonde.Mkikutana na Al ahly ni kwenda Kwa tahadhari la sivyo mtapata aibu kama Leo Kwa Simba.
 
Dah! Hata sikuamini kama simba wangeingia kirahisi kwenye mfumo wa Yanga. Na tatizo kubwa kwa upande wao lilianzia pale tu Kibu Dennis alipotoka, baada ya kuumia.

Kule mbele kulikosa mtu wa kuwasumbua mabeki wa Yanga. Na kuanzia hapo, wachezaji wa Yanga walikuwa wanafanya wanavyo jisikia. Washukuru wamefungwa 1-5. Mimi niliziona goli 6 eti!!!
 
Poleni wafungwa na hongereni wafungaji.
Yanga sijui wameleta mganga kutoka wapi.
Screenshot_20231106_001906.jpg
 
Back
Top Bottom