Lilian lilooo
New Member
- Jul 28, 2022
- 2
- 0
UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA
Elimu nchini Tanzania ilianzia enzi za kabla na baada ya ukoloni. Elimu kabla ya mkoloni ilikua unapewa kazi za jamii kutokana na umri kuna waliolioma, kufuga, kuchunga na kupika kutokana na umri wao. Elimu baada ya mkoloni ilikua pia kutokana na umri lakini iliegemea sana umri, jinsia na nguvu kuna waliolioma mashamba ya wakoloni na kutumika katika ujenzi wa barabara, madaraja na pia nyumba za wakoloni.
Elimu ni tendo au jinsi ya kuamisha uzoefu, ujuzi, uwezo, utambuzi wa kitu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Nchini Tanzania elimu inasimamia na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ambapo pia elimu inatolewa na sekta mbili za elimu sekta binafsi na sekta ya serikali.
2. Sekta ya serikali
Ni utoaji wa elimu bila malipo kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita. Mnamo mwaka 2022 serikali ilitangaza kuendeleza utoaji wa elimu bila malipo mpaka kidato cha sita badala ya kuishia mpaka kidato cha nne kama ilivyokua awali chini ya Hayati Raisi Joseph Magufuli.
Sekta zote binafsi na serikali zinaongozwa na muundo wa umri katika ufundishaji na utoaji wa elimu.
Aina za elimu zitolewazo
Pia kuna aina nyingine za elimu
*Elimu ya ufundi na ustadi ambapo ufundishaji wake ujikita sana katika ufundi na ujuzi wa magari, dereve, kupaka rangi, umeme, bomba, cherehani na ufundi wa nyumba
*Elimu ya watu wazima (EWW) ni elimu inayohususisha watu wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea kwa sababu wao wanajitambua na wanajielewa.
Vitu vya kuboresha katika utoaji wa elimu
Uboreshaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa, vyoo na nyumba za walimu, serikali kuhakikisha inatengeneza mazingira rafiki kwa wanafunzi na walimu pia. Kuhakikisha ina ujenzi imara juu ya madarasa yenye ubora, na nyumba za walimu zilizo karibu na shule na pia vyoo vyenye vifaa vyote vinavyoitajika.
Muonekano wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Mnimbila iliyopo Manispaa ya Lindi iliyojengwa kupitia ufadhili wa miradi ya elimu (chanzo ; fullshangweblog.co.tz)
Uboreshaji wa miradi ya utengenezaji wa madawati, darasa peke yake halitoshi pasipokuepo madawati, uboreshaji wa madawati ni muhimu ili kupata sehemu salama kwa wanafunzi kukaa ili kujifunza .
Uboreshaji na upatikanaji wa vitendea kazi kama picha za michoro, ramani, rula kwa urahisi ili kurahisha ufundishaji na kuongeza uelewa kwa watoto. Hasa maeneo ya vijijini ambapo ni vigumu kupata huduma kwa urahisi pia.
Ramani ya Tanzania ni moja ya kitendea kazi katika ufundishaji( chanzo ; google)
Uboreshaji wa maabara zenye vifaa vyote vitumikavyo kwa kusomea hasa masomo ya sayansi ili kuongea uelewa wa wanafunzi katika masomo ya sayansi
Baadhi ya vifaa vitumikavyo katika maabara ( chanzo; google)
Uboreshaji wa upatikanaji wa huduma za kijamii kama barabara, hospitali, maji, vituo vya polisi na umeme ili kuongea ufaulu hasa kwenye kidato cha tano na sita kwenye upande wa kuweka umeme shuleni wanafunzi waweze kufaulu hasa vijijini. Wasomaji pia wa vyuo umeme ni muimu sana.
Uboreshaji wa utoaji wa elimu hupelekea
Kuongeza ufaulu katika usomaji wa wanafunzi, kwa sababu ya uwepo wa huduma rafiki kwa wanafunzi mfano hospitali pale wanapoumwa, umeme kwa maeneo ya vijijini pia.
Husaidia kuleta kizazi chenye tija, mfano uwepo wa vifaa vya usomaji kwa wanafunzi wa sayansi hupelekea kuleta madaktari na wahandisi ambao watasaidia taifa siku zijazo kwa kutibu watu.
Hutengeneza mazingira rafiki kwa wanafunzi shuleni mfano mazingira ya vyooni hasa vya wasichana vikiwa rafiki inapelekea kuwepo kwa wanafunzi wa kuhudhuria masomo kila siku hasa maeneo ya vijijini.
Elimu kwa kutegemea serikali aiwezekani bila uwepo wa jamii nzima kushirikiana. Kuna taasisi, mashirika na watu binafsi ambao husaidia elimu na utoaji. Baadhi ya taasisi ni (TEA) ni Mamlaka ya Elimu Tanzania ambayo inashirikianana serikali katika kuinua elimu. Elimu nchini Tanzania inaongezeka kutokana na uwepo wa maendeleo ya nchi katika Sekta ya elimu hasa baada ya kufuta malipo ya kidato cha tano na sita, hii itapelekea kuongeza ufaulu na pia uboreshaji wa miundo mbinu ya elimu kama maabara, nyumba za walimu na pia madarasa hii itasaidia nchi na mtu binafsi kuongeza ufaulu na pia kiwango cha elimu.

- Sekta binafsi

- Elimu ya awali/ watoto wadogo/ vidudu ambapo utoaji wa elimu na ufundishaji wake uanzia miaka 3 - 6.
- Elimu ya shule ya msingi ambapo utoaji wa elimu huanzia miaka 6-14, KWA shule za serikali hutumia lugha ya kiswahili na shule binafsi hutumia kingereza katika ufundishaji.
- Elimu ya sekondari ambapo kuna kidato cha kwanza adi cha nne na kidato cha tano adi cha sita na utumia lugha ya kingereza katika ufundishaji kasoro somo la kiswahili.
- Elimu ya chuo ambapo imegawanyika katika astashada, stashahada, shahada na shahada ya uzalimu, ambapo zote hutumia lugha ya kingereza na utofautiana miaka kutokama na usomacho na hatua ya elimu.

Upvote
1