Nimependa nasaha zako. Kuna watu wananitisha eti wanaume hawataoa mwanamke mwenye umri mkubwa, na wanasema kuwa kufanya hivyo ni sawa na kununua gazeti jioni. Wamenitisha hao!!Kwenye ishu ya ndoa,umri sio ishu ,wala kuwahi kuolewa sio ishu,na Hata kuzaa pia,la msingi ni bora uchelewe kisha upate mtu sahihi ,kuna watu wanaishi kwa majuto usiku na mchana baada ya kukosea Hii step,inapendeza ukapata dume kubwa kuliko wewe kiumri na kipesa.
(Sijui marital status ya Samia). Lakini hebu fikiria kama awe hajaolewa, kuna mbunge, waziri, au mkurugenzi, RC, DC, RAS, DAS, etc yeyote anaweza kumwambia habari za uchumba?Wewe na Mh. Samia nani mwenye cheo kikubwa?
Inbox yangu huwa siku zote imefungwa kuepusha mitusi na kashfa zitakazo niharibia siku.Tangu uposti hii hoja Hujapata inbox kama 20p hivi?
Nimeanza kupata mashaka na thread yako mkuu maana naona una majibu ya kiumeKe. Lkn sichukuliwi na wahovyo hovyo.
..atawabakria mbali wote,..Huyu sexyless ipo siku atakuja humu kama popobawa
Change ur mindset kuhusu hilo. then lijengee hoja mbele kwa mbele. bado umri unaruhusu kuna mdada ( bibi) ana 42 na hana presha ya kuolewa anaamini yupo mumewe mzuri anakuja.Mkuu hii ngumu kidogo
Huyo atakuwa ana ugonjwa wa akili. Hawezi kuwa ameifikia menopause halafu anaamini ataolewa. Ataolewa akafanye nn kwa mume?Change ur mindset kuhusu hilo. then lijengee hoja mbele kwa mbele. bado umri unaruhusu kuna mdada ( bibi) ana 42 na hana presha ya kuolewa anaamini yupo mumewe mzuri anakuja.
Cjui una amini dini gani. ila imani ni mtaji mkubwa katika changamoto tunazopitia katika maisha yetu ya kila siku.Huyo atakuwa ana ugonjwa wa akili. Hawezi kuwa ameifikia menopause halafu anaamini ataolewa, akiolewa aakafanye nn kwa mume?