Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Kwenye ishu ya ndoa,umri sio ishu ,wala kuwahi kuolewa sio ishu,na Hata kuzaa pia,la msingi ni bora uchelewe kisha upate mtu sahihi ,kuna watu wanaishi kwa majuto usiku na mchana baada ya kukosea Hii step,inapendeza ukapata dume kubwa kuliko wewe kiumri na kipesa.
Nimependa nasaha zako. Kuna watu wananitisha eti wanaume hawataoa mwanamke mwenye umri mkubwa, na wanasema kuwa kufanya hivyo ni sawa na kununua gazeti jioni. Wamenitisha hao!!
 
Wewe na Mh. Samia nani mwenye cheo kikubwa?
(Sijui marital status ya Samia). Lakini hebu fikiria kama awe hajaolewa, kuna mbunge, waziri, au mkurugenzi, RC, DC, RAS, DAS, etc yeyote anaweza kumwambia habari za uchumba?
 
Sexless,
Mbona malikia wa Uingereza ana mme? Una shida tu wewe, ikiwemo hii ya kujishaua mitandaoni kuwa wewe ni bosi.
 
Mkuu juzi kati hapa ulikuja kuomba ushauri kuwa mkeo ana bonge la wowowoo na linatumwa huko whatsApp ..leo unatuambia wewe ni mwanamke

Anyway wewe ni taasisi
 
Mkuu hii ngumu kidogo
Change ur mindset kuhusu hilo. then lijengee hoja mbele kwa mbele. bado umri unaruhusu kuna mdada ( bibi) ana 42 na hana presha ya kuolewa anaamini yupo mumewe mzuri anakuja.
 
Change ur mindset kuhusu hilo. then lijengee hoja mbele kwa mbele. bado umri unaruhusu kuna mdada ( bibi) ana 42 na hana presha ya kuolewa anaamini yupo mumewe mzuri anakuja.
Huyo atakuwa ana ugonjwa wa akili. Hawezi kuwa ameifikia menopause halafu anaamini ataolewa. Ataolewa akafanye nn kwa mume?
 
Huyo atakuwa ana ugonjwa wa akili. Hawezi kuwa ameifikia menopause halafu anaamini ataolewa, akiolewa aakafanye nn kwa mume?
Cjui una amini dini gani. ila imani ni mtaji mkubwa katika changamoto tunazopitia katika maisha yetu ya kila siku.
aliwahi kusema alikuwa mtu wa sheria na selection by then and wanaume wakawa wanamgwaya. nw anamuomba Mungu.

Wakuu JF wametoa ushauri wao, chukua mambo mema omba Mungu bila kukoma, Mungu atakujibu kwa wakati wake.
 
Back
Top Bottom