Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

avogadro,
huyu hana haja ya kuendelea kuchukua maoni mengine. umemaliza kila kitu.
 
Kwa sababu ni taasisi sikoment wala kushauri, acha taasisi ijishauri ina kila kitu hadi ma HR
 
Nimependa nasaha zako. Kuna watu wananitisha eti wanaume hawataoa mwanamke mwenye umri mkubwa, na wanasema kuwa kufanya hivyo ni sawa na kununua gazeti jioni. Wamenitisha hao!!
Njoo inbox
 
avogadro,
Kuongeza usiongelee mambo ya kazi nje ya kazi jishushe katika jamii mambo ya kazi zako usiyape nafasi katika maongezi yako nje ya kazi hata simu za kazi nje no usikubali.
 
Ukifikia Umri huo hujaolewa una tatizo yawezekana Tabia mbaya sio kwamba ni " Ubosi " . Rekebisha hilo sio kusingizia Ubosi kila Mtu anatamani Mwanamke mwenye Kipato wasaidiane Maisha hilo la kusema Ubosi unakuharibia ni Uongo!
 
Sasa hapo njia pqnda hapo ulipo, kunja kulia , kuna mtaa unaitwa pm mm nimetulia tu nakuchora muda mrefu tu umesimama hapo njia panda.Njoo basi tuyamalize
 
Kuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25..... Yeye ana miaka 35 sasa
Ndoa ni taasisi kubwa na ya kwanza na ndo agano kubwa kuliko yote yaliyowahi kuapwa mbele ya mbingu na ardhini hivo kaa kaeni mkijua ya kuwa Mungu kaumba pia useja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka wazi shida yako hasa ili mabaharia wakusaidie kuitatua,kama ni kiu ya mkuyange au motto kuwa muwazi basi bosslady
 
Sexless,
SHIDA SIO UBOSI ILA NI TABIA YAKO TU NDIO INAKUPONZA.INA CHEO CHAKO WEWE NI ZAIDI YA MALKIA WA UINGEREZA? KUNA KINA MAMA WENYE VYEO VIKUBWA NA WANA HELA CHAFU NA WAMEOLEWA.KUWA HUMBLE/MNYENYEKEVU, HESHIMU WATU NA WANAUME WATAKUONA
 
Back
Top Bottom