mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
wape watu mzigo wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi....hapo kubali kuwa single mum!Mkuu hii ngumu kidogo
Njoo inboxNimependa nasaha zako. Kuna watu wananitisha eti wanaume hawataoa mwanamke mwenye umri mkubwa, na wanasema kuwa kufanya hivyo ni sawa na kununua gazeti jioni. Wamenitisha hao!!
U hv a pointSio cheo bidada kuna shida nje ya cheo. Tafuta rafiki yako mkweli na asiye mnafiki atakwambia mapungufu yako
Ndoa ni taasisi kubwa na ya kwanza na ndo agano kubwa kuliko yote yaliyowahi kuapwa mbele ya mbingu na ardhini hivo kaa kaeni mkijua ya kuwa Mungu kaumba pia useja..Kuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25..... Yeye ana miaka 35 sasa
Kuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25..... Yeye ana miaka 35 sasa