MUNGUakupe hitaji la moyo.wako Sexless
Tatizo huwa mnatengeneza mazingira magumu wenyewe, mfano hapa nilitaka kukutafuta hata tufahamiane lakini umefunga PM
basi naomba ni pm tuongeee
Hahaa sikuhzi hawa vilaza wanaishisha sana jf thamaniSexless, Wewe ni ME au KE??? Kuna mwanamke uliyemtia mimba mwezi wa 12??je alishajifungua??? Kweli hii ndo JF.
Kuweni makini wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sexless, Wewe ni ME au KE??? Kuna mwanamke uliyemtia mimba mwezi wa 12??je alishajifungua??? Kweli hii ndo JF.
Kuweni makini wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niunganishe nae basi uyo dada nimsitiri,Watu wa umri huo ukiishi nao hutulia sana ndoani kuliko hao wakukaa ofisiniKuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25..... Yeye ana miaka 35 sasa
Hizo thread unaziangaliaje mkuu mbona profile yake imefungwaChunguza thread zake za nyuma
Utaimbisha mwanaume mwenzio ww
Kuna msemo humu wanasema 'jf is a jungle, tread carefully'
Sent using Jamii Forums mobile app
anataka ndoa etAcha kutembelea gari yako panda daladala hama ushuani, acha nyumba yako njoo upange chumba kimoja huku kwetu uswazi, ukivuka wiki hujarukiwa utakuwa na gundu.