Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Huyu mtu kaanzisha uzi kuwa alimtia mimba class mate wake ambaye alikuwa keshaolewa.
Mimba ikakataliwa.
Yeye pia kadai ana mke na mtoto wa miezi kadhaa.
Wonderful enough anarudi tena hapa na kujiita jike limeshindwa pata bwana.
What a shame

Thread za nyuma zinaumbua sana
MUNGUakupe hitaji la moyo.wako Sexless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sexless,

Tatizo huwa mnatengeneza mazingira magumu wenyewe, mfano hapa nilitaka kukutafuta hata tufahamiane lakini umefunga PM
basi naomba ni pm tuongeee
 
Hawachi
Ndg yako aliekuomba ushauri kwamba kamtia mimba ex wake hapa alikuwa analalamika haolewi kwasababu ya ubosi.
Hii ilikuwa 2018
Hahaaaaa jf akili kumkichwa
 
Kwani mme anapatikana kazini tu ? Ama ubosi unapeleka hata mtaani. Tatizo liko kwako siyo cheo K iwe ya boss ama ya mhudumu zina radha sawa tu dada
 
Mwanamme awe na nia na wewe akuogope kisa wa ni boss! Ni muda wako tu haujafika ila utaolewa tu. We sio boss wa kwanza wa kike duniani
 
Acha kijihisi vibaya. Huna ubosi wa kutisha. Ufanye kazi miaka 6 uwe bosi ? Kiasi gani?
Jichanganye kwenye matukio. Tutakuona usijali.
Ila jiandae kuzaa mfululizo..[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25..... Yeye ana miaka 35 sasa
Niunganishe nae basi uyo dada nimsitiri,Watu wa umri huo ukiishi nao hutulia sana ndoani kuliko hao wakukaa ofisini
 
hata mabosi wa ngazi yako au zaidi yako wanakuogopa? Ukiona mayai yanakaribia ukingoni, akija mwanaume yeyote ibuka nae ila ufanye utafiti wa chapchap.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom