Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hizo thread unaziangaliaje mkuu mbona profile yake imefungwa
Shukurani
Bonyeza usernameHizo thread unaziangaliaje mkuu mbona profile yake imefungwa
Ushauri mzuri.Sexless,
Ni rahisi mno mno mno
Utafanikiwa ndani ya miezi 3 tu.
Fanya namna hii
1. Hama unako kaa ukapange chumba kimoja, Kapange mbali wasikokujua Usitumie gari kama unalo, chukua chumba chako kimoja, paweke safi , masofa pawe kawaida yani,
Anza kwenda kazini kwa daladala, ( siyo bajaji wala boda)
Kuwa mtu mwingine, ukipewa lift usikatae, vaa vizuri sana
Watakuja kama utitiri, usiwambie kazi yako wala unakofanya kazi
Usisahau kuleta mrejesho
Sexless akili yake haimtoshiNimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?
Miaka 9 iliyopita nilimtia mimba Mwanachuo wa mwaka wa 2 akajifungua mtoto wa kiume. Hatukuweza kuoana maana na mimi ndiyo kwanza nilikuwa nina mwaka mmoja mtaani sina mbele wala nyuma. Hivyo kila mtu alishika 50 zake na kutafuta mwenza wake mpya wa maisha. Lakini malezi ya mtoto niliyabeba...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
PumbavuTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Kwa Tanzania Nyie Mashoga ni ngumu kuolewa. Pili huna ubosi wowote usitake tapeli watu. Labda wadanganye wa BuzaTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Weka tangazo kuwa unatafuta mume wa kukuoa na vigezo vyako, mbona mimi kuna mdada miaka ya nyuma aliwahi kuni approach na kunipa makavu live kwamba ananipenda? Nilistuka sana but alikomaa mpaka nilikubali na baadae nikagundua alikuwa poa sanaaaTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Pole sana dada na je uko mkoa upi na una umri Gani? Ukipenda nifuate inbox mm nipo KilimanjaroTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Njoo inbox tuyajenge. Upate hata mtoto muhimuTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Njoo inbox tuyajenge. Upate hata mtoto tu muhimuTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Kaza kamba. Rafiki yangu Natty alikuwa kama wewe. Ni bosi kazini, ila kakomalia msimamo wake. Kapata Black American anapaa mwezi wa nneTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Oh pole kuna mwanafunzi wangu pia ana 35 sasa,yeye pia anahangaika hajaolewa na hajazaa,pia hataki kuzaa bila ndoa,anahangaika sama kama ulivyo weweTangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
k usigaweNyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa
Migegedo kama kawaida!Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.