Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Hizo thread unaziangaliaje mkuu mbona profile yake imefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonyeza username
Ikifunguka hapo click kwenye idadi ya posts.
Kisha chagua started threads
Utaona replies pia.

Ukishindwa njoo PM mama nikupe darasa zaidi
Screenshot_2020-02-02-10-28-14.jpeg
Screenshot_2020-02-02-10-28-29.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sexless,

Ni rahisi mno mno mno
Utafanikiwa ndani ya miezi 3 tu.
Fanya namna hii

1. Hama unako kaa ukapange chumba kimoja, Kapange mbali wasikokujua Usitumie gari kama unalo, chukua chumba chako kimoja, paweke safi , masofa pawe kawaida yani,
Anza kwenda kazini kwa daladala, ( siyo bajaji wala boda)
Kuwa mtu mwingine, ukipewa lift usikatae, vaa vizuri sana
Watakuja kama utitiri, usiwambie kazi yako wala unakofanya kazi
Usisahau kuleta mrejesho
Ushauri mzuri.
 
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Pumbavu
 
Kwa Tanzania Nyie Mashoga ni ngumu kuolewa. Pili huna ubosi wowote usitake tapeli watu. Labda wadanganye wa Buza
 
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Weka tangazo kuwa unatafuta mume wa kukuoa na vigezo vyako, mbona mimi kuna mdada miaka ya nyuma aliwahi kuni approach na kunipa makavu live kwamba ananipenda? Nilistuka sana but alikomaa mpaka nilikubali na baadae nikagundua alikuwa poa sanaaa
 
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Pole sana dada na je uko mkoa upi na una umri Gani? Ukipenda nifuate inbox mm nipo Kilimanjaro
 
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Njoo inbox tuyajenge. Upate hata mtoto muhimu

Njoo inbox tuyajenge. Upate hata mtoto tu muhimu
 
Kaza kamba. Rafiki yangu Natty alikuwa kama wewe. Ni bosi kazini, ila kakomalia msimamo wake. Kapata Black American anapaa mwezi wa nne
 
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Oh pole kuna mwanafunzi wangu pia ana 35 sasa,yeye pia anahangaika hajaolewa na hajazaa,pia hataki kuzaa bila ndoa,anahangaika sama kama ulivyo wewe
 
Hatimae nimempata niliyekuwa namtafuta muda mrefu, njoo pm tuyajenge biharusi
 
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Migegedo kama kawaida!
 
Back
Top Bottom