Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Kuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25. Yeye ana miaka 35 sasa
Mlete Huyo dawa n in ninayo atakushukuru maisha yake yote
 
Kama una pesa na hawataki kukuoa si used aoe wewe jamaniiiii, were alikwambia nani ukiwa na pesa hakuna linaloshindikakana hapa chini ya jua, au vihela vyenyewe vya kubadilishia mboga.
 
Ke. Lkn sichukuliwi na wahovyo hovyo.

Hapo ndipo penye Taabu! Wa ovyo wanamapembe mpaka yanainekana kwa Juu au ??
Hujajua unataka mwanaume wa aina na gani?
Na hilo ni Ugonjwa mwingine kwenye eneo hilo la Mahusiano.
Kipi cha kipaumbele kwenye mahusiano yako. Issue ya Sura,Tabia,Pesa,Elimu au kwenye 6x6 (Bamia vs Mtarimbo a.k.a Ukuni??.
Ukiweka chini dondoo za vitu hivyo hapo juu wanaume wako kibao.
 
NILIMSIKILIZA MWANASAIKOLOJIA MMOJA ALISEMA MWANAUME UKIMUOA MWANAMKE ALIEKUZIDI KIPATO UJUE UTAISHI KWA SHIDA SANA YANI MWANAMKE ATAKUFANYA MNYONGE KUANZIA KISAIKOLOJIA UTAJIHISI MNYONGE HADI KWENYE MAISHA YA KAWAIDA SASA KAMA WANAUME WENGI WENYE VIPATO VIDOGO TULISHASIKIA VITU KAMA HIVYO LAZIMA TUMUOGOPE MWANAMKE ALIYETUZIDI KIPATO
 
Nifuate pm tuyajenge ila kiburi cha uboss na kujisikia uviache kabla hatujaoana
 
njoo nikuoe mke wa pili mkuu, ila sitaki uwe na complications, kazi ni kazi na ndoa ni ndoa
 
Bado mbona 33 ni miaka ya kawaida usivunje kiapo mumy
 
Sexless,

Ni rahisi mno mno mno
Utafanikiwa ndani ya miezi 3 tu.
Fanya namna hii

1. Hama unako kaa ukapange chumba kimoja, Kapange mbali wasikokujua Usitumie gari kama unalo, chukua chumba chako kimoja, paweke safi , masofa pawe kawaida yani,
Anza kwenda kazini kwa daladala, ( siyo bajaji wala boda)
Kuwa mtu mwingine, ukipewa lift usikatae, vaa vizuri sana
Watakuja kama utitiri, usiwambie kazi yako wala unakofanya kazi
Usisahau kuleta mrejesho
 
Ushauri mzuri sana huu.
 
Cheo sio tatizo, tatizo huenda ikawa,
  1. Dharau
  2. Kujisikia
  3. Ubaguzi
  4. Selective sana
  5. Sura baya
Ila no.5 sio saana hiyo no 1-4 ndio tatizo kubwa.
 
Sexless,

Kabla ya cheo ilikuwaje? Halafu hauna ndoa inakuwaje uzae nje ya ndoa? Au ndio kuzaa kabla ya kufunga ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…