Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Mtu wa kawaida anaandika ushauri kwa namba yaan toka 1 had 9 sio bure dada mtafute huyu.1. Unapotoka nje ya mazingira ya kazi usiendelee na ubosi wako
2. Jichanganye kwenye makundi mema baada ya kutoka kazini kama wewe ni mkristo nenda kwenye vyama vya kitume au kwaya.
3.Jitahidi kuwa myenyekevu kwa watu waliokuzidi umri na tabia yako isomeke hadharani kuwa ni njema
4.Usiishi maisha ya juu sana kama kuendesha gari masaa yote kwani neema za wanaume unazikosa saa nyingine unapotembea kwa miguu ndio waoaji wanakuona na kuanza kukufukuzia
5. Usipende kuvaa vitu vya garama saana kwani kuna wanaume wema wataona wakikuoa utawaingiza hasara hata kama ana kipato
6. Epuka sana kuwa wa bandia kama kubadilisha ngozi na kuvaa madude mengi artificial kwani kuna wanaume wengi hutathmini mwanamke aliyebadilisha ngozi kuwa hata tabia yake anaweza kuibadilisha kama kinyonga jinsi apendavyo na ajiamini na uzuri aliopewa na Mungu
7.Usipende kukosoa wanaume hadharani kwani kwa yule unayemkosoa kuna wengine wanakufuatilia kwa siri bila kukuambia na ukiona kitu kidogo tuu gubu la kufa mtu basi na wao wanajitoa kiulaini
8. Epuka sana kufikiria kuolewa na msomi mwenzako ama tajiri bali yeyote utakayempenda na anayekupnda kwa dhati na mwenye tabia njema anaweza kukufaa na mkaishi maisha mazuri na ya amani kuliko msomi mwenzako ambaye kwanza kumpata inakuwa kazi kwani baadhi huoa ambao hawajasoma kwa sababu hushuhudia live vituko vinavyofanyika vyuoni
9. kubali utumwa na kamwe usishawishike na wanaharakati wanataka kuwa sawa na wanaume
10. Kumbuka kuwa katika muungano wowote kila mtu lazima apoteze sehemu ya uhuruwake na kupokea mapungufu ya mwenzake na kuyavumilia. Hivyo usitarajie mtu ambaye yupo pafect kama malaika ndio akuoe utakosa wale ambao uliowakataa kwa kusema sii kiwango chako masi kama bado wapo warudie kwa unjenyekevu laa sivyo "imbombo ngafu""
Nipe namba yake mimi nimpe mimbaKuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25, Yeye ana miaka 35 sasa
Unataka kuposa taasisi mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]upoje kwani nikupose?
Duh! Sasa kwanini kujitesa hivyo?Acha kutembelea gari yako panda daradara hama usuani Acha nymba yako njoo upange chumba kimoja huku kwetu uswazi ukivuka wiki hujarukiwa utakuwa na gundu
Swali la kichoookHua unapata hamu au hupati?
Huna haja ya kufanya hivyo,miaka 33 bado una nafasi kabisa nani kakuambia wazee wako 30s,acha mawazo hayo kuna watu wanaolewa na 45 wewe bado kabisaa wala sio kwamba nakutia moyo kama una amini kwa Mungu omba ukiamini mume wako yupo na atatokea,vile unavyokiri ndio utapokea ukijiona wewe ni mzee na mwili utapokea hilo na kulitafsiri kimwili na utakuwa na sura ya kizee,pamoja na u boss usijitenge tatizo la watanzania wengi akishakuwa boss anachagua na watu wa kuwa nao yaani wa class fulani acheni hizo ishi maisha ya kutokuwa na mipaka you will enjoy a lot.Mume wako yupo subiri huku ukiomba kwa Mungu