Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

1. Unapotoka nje ya mazingira ya kazi usiendelee na ubosi wako

2. Jichanganye kwenye makundi mema baada ya kutoka kazini kama wewe ni mkristo nenda kwenye vyama vya kitume au kwaya.

3.Jitahidi kuwa myenyekevu kwa watu waliokuzidi umri na tabia yako isomeke hadharani kuwa ni njema

4.Usiishi maisha ya juu sana kama kuendesha gari masaa yote kwani neema za wanaume unazikosa saa nyingine unapotembea kwa miguu ndio waoaji wanakuona na kuanza kukufukuzia

5. Usipende kuvaa vitu vya garama saana kwani kuna wanaume wema wataona wakikuoa utawaingiza hasara hata kama ana kipato

6. Epuka sana kuwa wa bandia kama kubadilisha ngozi na kuvaa madude mengi artificial kwani kuna wanaume wengi hutathmini mwanamke aliyebadilisha ngozi kuwa hata tabia yake anaweza kuibadilisha kama kinyonga jinsi apendavyo na ajiamini na uzuri aliopewa na Mungu

7.Usipende kukosoa wanaume hadharani kwani kwa yule unayemkosoa kuna wengine wanakufuatilia kwa siri bila kukuambia na ukiona kitu kidogo tuu gubu la kufa mtu basi na wao wanajitoa kiulaini

8. Epuka sana kufikiria kuolewa na msomi mwenzako ama tajiri bali yeyote utakayempenda na anayekupnda kwa dhati na mwenye tabia njema anaweza kukufaa na mkaishi maisha mazuri na ya amani kuliko msomi mwenzako ambaye kwanza kumpata inakuwa kazi kwani baadhi huoa ambao hawajasoma kwa sababu hushuhudia live vituko vinavyofanyika vyuoni

9. kubali utumwa na kamwe usishawishike na wanaharakati wanataka kuwa sawa na wanaume

10. Kumbuka kuwa katika muungano wowote kila mtu lazima apoteze sehemu ya uhuruwake na kupokea mapungufu ya mwenzake na kuyavumilia. Hivyo usitarajie mtu ambaye yupo pafect kama malaika ndio akuoe utakosa wale ambao uliowakataa kwa kusema sii kiwango chako masi kama bado wapo warudie kwa unjenyekevu laa sivyo "imbombo ngafu""
Mtu wa kawaida anaandika ushauri kwa namba yaan toka 1 had 9 sio bure dada mtafute huyu.
 
Kuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25, Yeye ana miaka 35 sasa
Nipe namba yake mimi nimpe mimba
 
wewe utakuwa hujataka kuolewa wanaume wengi namna hii tunawatafuta watu kama nyie leo unasema umekosa!!!!
 
Utapata tu, inawezekana umejiweka kama chombo cha starehe na si km mwanamke anayetafuta kuolewa. Aidha kwa mavazi yako, maneno kupitia maongezi yako, uzungu mwingi...mahali unapoabudu mshirikishe kuhani wako kwamba unahitaji mume, watakaojitokeza usichague sana
 
Mwanamke kumpata mwanaume umtakaye ni wewe tu. Kaa kwenye mkondo upitiwe na baraka hizi
 
Utaweza kuwa mke wa pili? Afu uboss wako hukohuko kazini ukija kwangu unalala uchi
 
Weka picha au haina haja ubosi wako ni picha tosha please kwa vyuma hivi wewe ni gold haki ya nani
 
Mimi Niko tayari kukupa mbegu,
Tena mbegu dume ili nawe uitwe mama,
Ila kwenye malezi ya mtoto utapambana na hali yako
 
Sexless,
Mwenzako Joyce Kiria nae alikuwa na matamanio kama yako kampata mme, kaanza kumletea mbwembwe, wanawake wenye Pesa wanazingua.
 
Tatizo sio U Boss wako shida ni madharau, kikubwa punguza kuchagua sana nimeona huko umesema wanaume wa hovyo huwataki hao wa hovyo sijui wakoje. Miaka iangalie sana inasonga hiyo wanaume huwa tuna tabia ya kuwaogopa wanawake waliokaa miaka ming sana bila kuolewa.
 
You better be alone mysister than being married with a wrong husband!and vice versa!
Have faith
 
Acha kutembelea gari yako panda daradara hama usuani Acha nymba yako njoo upange chumba kimoja huku kwetu uswazi ukivuka wiki hujarukiwa utakuwa na gundu
Duh! Sasa kwanini kujitesa hivyo?
 
Huna haja ya kufanya hivyo,miaka 33 bado una nafasi kabisa nani kakuambia wazee wako 30s,acha mawazo hayo kuna watu wanaolewa na 45 wewe bado kabisaa wala sio kwamba nakutia moyo kama una amini kwa Mungu omba ukiamini mume wako yupo na atatokea,vile unavyokiri ndio utapokea ukijiona wewe ni mzee na mwili utapokea hilo na kulitafsiri kimwili na utakuwa na sura ya kizee,pamoja na u boss usijitenge tatizo la watanzania wengi akishakuwa boss anachagua na watu wa kuwa nao yaani wa class fulani acheni hizo ishi maisha ya kutokuwa na mipaka you will enjoy a lot.Mume wako yupo subiri huku ukiomba kwa Mungu

Unampotosha. Huyo atazeeka na ubosi wake mpaka aache nyodo, bibie uwe unakuja pale gym mayfair tupo sisi tunaotafuta wanawake kama nyie
 
Wengi hushindwa kuwafikia watoto wa ushuani kwa kudhani matawi ya juu yana wenyewe ukijishusha utampata sasa unapita kwenye kiyoyozi nitakusimamisha vipi nipo kwenye daradara tembea tuonane upo kwenye fansi mbwa askali getini ninaingiaje njoo uswazi nyumba moja watu kibao hakuna fansi tutaonana tufauti na hiyo watumishi wenzako hapo ofisini ndio mnao kutana (vogi na daradara) wapi na wapi hutoolewa.
 
Back
Top Bottom