HapanaUnamaanisha bikira yako bado ipo vilevile.
Hapana. Ila sigawi mpk ndoakwa hiyo wewe ni bikra au?
Kwann?Pm kuna shida gani siku hizi dah!
Hebu funguka tukuelewe, unamaanisha nn.ukioa mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30, ni sawa na kununua gazeti jioni
Mkuu niamini. Ushauri wako ni muhimu sanamleta mada sijawahi kukuamini
Nimefunga kwasabb watu hawana ustaarabu, badala ya kushauri wanaporomosha mitusi na kashfa.Mbona pm iko selective,allow upate mume
Boss unajua nakuona boss wangu, hutaki kugawa nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa
Naona umeona fursa.... Wapenda maganda ya ndizi utawaona tu.. Haya nenda katelezeUmeongea vizuri mama ni dm tuyajenge hizi nyakati saiz inatakiwa ushike chako mapema welcome to me mm ndie mume ulie msubilia miaka yote ...shituka ebujiulize una mpaka uboss oficen kwenu huko dhahili kabisa wanaume watakua wanakuogopa kukupiga saund kama mm ninavyo ogopa kumpiga saund mwanamke ambae ana drive mindinga ya bei mbaya
Duu pole ila wengine very civilised, unakosa bahatiNimefunga kwasabb watu hawana ustaarabu, badala ya kushauri wanaporomosha mitusi na kashfa.
Tegemea wapenda mtelemko huko pm maana vijana siku hiziKe. Lkn sichukuliwi na wahovyo hovyo.
Anza kupanda daladala sio kila siku kwenye tinted nyumbani kazin panda siku nyingine usafiri wa uma ili uonekane wakawada, wengine utakuta kaongozana na mmewe ile mme akigeuka mkewe anakonyezwa huko na kuombwa namba siku moja moja panda kajamba nani utaonekana wakawaida.Mkuu niamini. Ushauri wako ni muhimu sana