Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaandika "kihindi" mkuu usipate tabu kutafuta tafsir*NIMEKUPENDACSANACUNA* AKILI. BADO UNA NAFASI
Hueleweki aisee au umeandika kihindi???[emoji12] [emoji12]
Ewe dada unaweza kuwa kila siku unamtafuta mchawi kwann huolewi, kumbe mchawi ni wewe mwenyewe.<br /><br />Kilomita za umri zinasonga wewe unazidi kuchubua magoti kwenye nyumba za ibada ukiomba upate mume, lkn kumbe tabia zako ni kama bulldozer inayosukumia mbali.
Haya maneno nmeyatoa kwenye uzi wako " nkisikia I drink socially"
Habari yako dada, wasema huchukuliwi na wahovyo hovyo, hapa sijakuelewa binafsi unakusudia nini?. au labda unambie mimi na wale ambao bado hawajawaelewa wahovyo hovyo ni watu aina gani?.Ke. Lkn sichukuliwi na wahovyo hovyo.
Nicheki pm nitakusaidiaupoje kwani nikupose?
Waonekana unachagua sana MTU wa kuishi naye. Kuwa boss sio sababu bali maadili ya mke kwa mume. Je unavyoishi unavutia wanaume kwa style Yako ya maisha? Je unakua mnyenyekevu kwa wafanyakazi wenzako? Je umejiwekea u tayari wa kua approached? Usivunje kiapo chako japo sijajua km hujapata Mtt je mpenzi pia huna na hujawahi kufanya mapenzi ? Ni hayo
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.
Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.
Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.
Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?
Niko njia panda jamani naombeni ushauri.
NB: Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME
Kwa msimamo huu jiandae kuwa batchelor wa maishaNyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa