Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Njoo nikuzalishe mtoto, tutasaidiana kulea, labda huko mbele tukiwa na chemistry ya kuridhisha basi ndo umejipatia mume. Mambo mengine unatakiwa kutake risks.
 
Kama upo hivyo na unamwomba Mungu kweli na ni mwaminifu kwa Mungu bila kudharau watu...hakika Mume wako bado yupo na mtaoana tu.

Hakuna formula ya mfanano katika suala la kufunga ndoa...wengi wanatawaliwa na Mazoea tu na wanafikiri kinachotokea kwa hawa ni lazima kitokee kwa huyu vilevile.

Wewe kuwa kwny mstari mzuri wa kumpendeza Mungu wako bila kusumbuliwa na fikra au Maneno ya watu...!

Mungu ana mipango yake kwa kila mtu.
 
Siku utakapojua tatizo lako ndipo utakapoanza kupata wachumba na utaolewa tu.

Omba Mungu kwanza akupe macho na uwezo Wa kutambua tatizo lako.
 
Usijali best umri wako bado Sana'a mi mwenzio Nina 35 hata mchumba sina lakini Nina Imani nitaolewa vizuri tu.
Usikate tamaa utaishia pabaya na pia usipapalike kuwa umri unaenda ukaangukia kwa wrong person ukaja kujuta. Ndoa bwana sio ya kuikimbilia kimbilia.
 
Kisa cha mpemba iki ni kama kile kilichomkuta zai kwa mtoto wa babu
 

Aisee wapo wanawake wa hivi bana...hawaaliki...kila.dk unakaa nae ninkero
 
Ke. Lkn sichukuliwi na wahovyo hovyo.
Habari yako dada, wasema huchukuliwi na wahovyo hovyo, hapa sijakuelewa binafsi unakusudia nini?. au labda unambie mimi na wale ambao bado hawajawaelewa wahovyo hovyo ni watu aina gani?.
 
Ili mwanamuke aolewe anatakiwa awe na hizi sifa Jitathimini kama unazo 1.Age,2.beauty,3.Character,4.Domination,5,Education,6.Family BackGround,7.Generosity,8.Intelligence, 9.Health,10.Jealous unaweza ukaniuliza swali kama hutazielewa 0766940499
 
Niko tayari iwapo utakuwa na maamuzi ya tayari come inbox
 
upoje kwani nikupose?
Nicheki pm nitakusaidia


 
Sexless,

Park gari, panda basi, boda, bajaj. Nenda kapange chumba na sebule, Mwenge, Sinza, Kijitonyama, Kinondoni. Vaa ki sister duu, Ua lionekane, ling'are. Acha nyodo kwenye salaam, itikia vizuri kwa kujiamini na heshima..Hudhuria Harusi na sherehe mbali mbali za kukutana na Wakware.
 
Sexless,
Dada kwenye maelezo yako mwishooni kuna sentensi isemayo, nakunukuu

NB:Sexless siyo mtu ni taasisi iliyosheheni KE na ME, mwisho wa kunukuu.
Dada sijaelewa hapa umemaanisha nini?.
 
Ni kweli tatizo hili hukumba watu wengi sana huko pekee yako.ila kumbuka mtoaji wakila kitu ni mungu.usije kukubali kuzaa nje yandoa nidhambi muhim muombe mungu naamin atakupa mume wakati alokupangia ukifika.wala usikate tamaa.wala usiogope wanaokucheka hawajui walifanyalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…