Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Usikute una uhaba wa shape mamy! ila kama una 33yrs kaazi unayo mama kwani kwasasa kila mwanaume anajiuliza kwanini hujaolewa wakati kazi unayo?
 
Dada usikate tamaa... Dada namfahamu hivi karibuni amefunga ndoa ana umri almost 40. Badilisha attitude, endea mahusiano kwa njia ya kimungu, na yeye atamuongoza kuja kwako aliyechaguliwa naye.
 
Kuna dada nilisoma nae yupo temeke Hosp ni midwives (mkunga) hana mtoto kila siku analia hajawah pata ata mimba akatoa au kuolewa analiaga sana anapokuja mtu w kujifungua chini ya miaka 25..... Yeye ana miaka 35 sasa
Mkuu nipe mawasiliano Yake uyo dada
 
Duuuu kwa iyo miaka yt iyo unalal mwenyw sas unakumbuk kunyoa uko chini kwel [emoji37][emoji37][emoji37] acha mzigo uoo ikishik mbami ndo tiket ikigom unalea coz unajiwez utopat tab[emoji2][emoji2][emoji2]menopos nao days inawai 40 tuu apo ndiiiii
 
Nahisi unatafuta pia ambaye hataki kugawa uroda nje ya ndoa kama wewe! Jipe moyo atapatikana umri bado!!!!??

Ila pia wanaume wanaochelewa sana kuo kufikia 37 na kuendelea pia akiri zao wanazijua wenyewe. Kazi unayo. Ila Mungu ndo mweza wa Yote kila la kheri
 
Pia sio lazima usubirie kuaprichiwa, unaweza kumuaproach mtu unayempenda wewe, au ukamjengea mazingira akuone au ashawishike kuku approach wewe,
 
Huna haja ya kufanya hivyo,miaka 33 bado una nafasi kabisa nani kakuambia wazee wako 30s,acha mawazo hayo kuna watu wanaolewa na 45 wewe bado kabisaa wala sio kwamba nakutia moyo kama una amini kwa Mungu omba ukiamini mume wako yupo na atatokea,vile unavyokiri ndio utapokea ukijiona wewe ni mzee na mwili utapokea hilo na kulitafsiri kimwili na utakuwa na sura ya kizee,pamoja na u boss usijitenge tatizo la watanzania wengi akishakuwa boss anachagua na watu wa kuwa nao yaani wa class fulani acheni hizo ishi maisha ya kutokuwa na mipaka you will enjoy a lot.Mume wako yupo subiri huku ukiomba kwa Mungu
Usimuongopee mtoto kuzaliwa hata kumaliza elimu ya chuo huwa na wastani wa miaka 23-25 yeye atakuwa na mingapi ili aweze kumsaidia mtoto bila shida na akiwa na nguvu uzazi mzuri unatakiwa uwe na miaka 26-28 mtoto mnakwenda sawa
 
Usimuongopee mtoto kuzaliwa hata kumaliza elimu ya chuo huwa na wastani wa miaka 23-25 yeye atakuwa na mingapi ili aweze kumsaidia mtoto bila shida na akiwa na nguvu uzazi mzuri unatakiwa uwe na miaka 26-28 mtoto mnakwenda sawa
Watu wanamdanganya eti miaka 33 ni midogo midogo nyooo!! Hao watoto atawazaa na kuwalea lini......wengine eti wanasema kuna watu wamewaona wameolewa wakiwa na 40's ni % ya wanawake wanaolewa na umri huo pia wanatakiwa wajue kuzaa mtoto kuanzia miaka hiyo ya 40 uwezekano wa kuzaa watoto wenye matatizo ya akili ni mkubwa
 
Back
Top Bottom