cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalaaaa. Hapo hakuna ndoa katika mazingira ya kawaida. Na ndizo nyodo zenyewe hizo.Nyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa
Ndoa ni kitu artificial kilichotokana na jamii sio Mungu. Mungu yeye ametupatia sex organs, mume Na Mke, kubalehe, libido, mimba, kuzaa, na menopause. Alifanya hivyo kwa viumbe vyote.Nyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa
Hujajibu bado, kuwa muwazi kama kweli unataka msaada.Kumekuwa na maswali mengi yasiyoisha kwamba "Kwann ID hii inatoa threads za mrengo wa kike na kiume?"
Sio kutisha huo ndo ukweli wa kukuoa kwa umri ni yule mwenye familia yake anaongeza mke wa piliNimependa nasaha zako. Kuna watu wananitisha eti wanaume hawataoa mwanamke mwenye umri mkubwa, na wanasema kuwa kufanya hivyo ni sawa na kununua gazeti jioni. Wamenitisha hao!!
Sasa kama umefunga inbox huyo mchumba utampataje?Inbox yangu huwa siku zote imefungwa kuepusha mitusi na kashfa zitakazo niharibia siku.
Naomba ujikite ktk kutoa ushauri, na siyo kuuliza maswaliMiaka 33 ni age ambayo inafaa usitaafu kuzaa inakuwaje hata ndoa huna?