Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Bigger mind nakushauri

Jaribu usijiweke official sana hata kazini we jiweke simple tu no matter what.

Wenda hao wafanyakazi wako tabia unazo waenyesha(manyanyaso) yamekupa laana au gundu la kutokuolewa. Jiweke just normal

Kila lakheri.
 
Nyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa
Yalaaaa. Hapo hakuna ndoa katika mazingira ya kawaida. Na ndizo nyodo zenyewe hizo.

Hakuna muoaji pasipo kuonja. Labda huko mbinguni.

Btw. Hivi wewe bado ni BIKRA ama?
 
Sexless,
Jishushe, jichanganye na jamii, jione kama wao sio kama msomi na mwenye cheo na hela, vitu hivyo vitakuwekea uzio
 
Sexless,
Pole sana. Jitahidi kubadilika kama ulikuwa uudhurii jitahidi kuhufhuria Kanisani ,Msikitini, Vikao vya harusi au ktk shughuli zozote za kijamii hapa ndiyo mahala utakutana na watu wa aina yako. Pia usiwe mtu wa kuringaringa kwani hakuna mwanayependa kupotezewa muda kwani kwa dunia ya sasa kila mmoja ana mizigo yake. Watu hawapendi kero yaani kuumizana mioyo.
 
Mama said, "You're a pretty girl.
What's in your head, it doesn't matter
Brush your hair, fix your teeth.
What you wear is all that matters."

Just another stage, pageant the pain away
This time I'm gonna take the crown
Without falling down, down, down

Pretty hurts, we shine the light on whatever's worst
Perfection is a disease of a nation.....

We try to fix something but you can't fix what you can't see
It's the soul that needs the surgery.....

Pretty hurts.
 
Nyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa
Ndoa ni kitu artificial kilichotokana na jamii sio Mungu. Mungu yeye ametupatia sex organs, mume Na Mke, kubalehe, libido, mimba, kuzaa, na menopause. Alifanya hivyo kwa viumbe vyote.

Unachohitaji wewe kwa sasa ni mume mwenye afya wa kusex nae sio ndoa, mengine yatajitokeza ndani ya uhusiano wenu huo. Ukishampata MTU huyo wa kusex NAE muonyeshe kuwa wewe ndiye unastahili kuwa mke wake kitabia, upendo, mapishi, usafi, matumizi, mapenzi, n.k. vinginevyo ndoa ni tukio la kijamii zaidi kuliko uhalisia. Lingekuwa ni sharti kutoka kwa Mungu asingefanya uumbaji (mimba) kwa watu wasiokuwa na ndoa.
 
Ulivyojieleza bila shaka wewe ni bikira, hongera. Angalia kwa makini mwanaume angalau anaendana na tabia yako sio lazima kuolewa kwani utasubiri sana. Una kazi yako kuwa single usijali. Japo nimeoa tabia zangu ni za msimamo kama wewe lakini kwa hilo nipo tayari kukusaidia
 
Unyenyekevu pmj na kumcha Mungu ni vitu muhimu sana,lkn pia usivunje agano lako,maombi yako karibu kujibiwa.
 
. Lingekuwa ni sharti kutoka kwa Mungu asingefanya uumbaji (mimba) kwa watu wasiokuwa na ndoa.
Thinking deeper and beyond
 
Sexless,
Sexless umezidi vibwanga, leo unatokea kama mwanamke kesho unatokea kama mwanamme. Tunashindwa tukusaidieje!!!
 
Nimependa nasaha zako. Kuna watu wananitisha eti wanaume hawataoa mwanamke mwenye umri mkubwa, na wanasema kuwa kufanya hivyo ni sawa na kununua gazeti jioni. Wamenitisha hao!!
Sio kutisha huo ndo ukweli wa kukuoa kwa umri ni yule mwenye familia yake anaongeza mke wa pili
 
Back
Top Bottom