Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

KUOLEWA NA CHEO HAVINA UHUSIANO NA KUTOOLEWA, ILA TABIA INAYOENDANA NA MAJIVUNO YA CHEO NA UWEZO NI SUMU KUBWA KWA MAHUSIANO, UKIWA MNYNYEKEVU HATA KAMA WEWE NI TRUMP UTAPENDWA, YOU LIVE WITH YOUR PROBLEM IN YOUR HEART AND PERSONALITY AND SIO CHEO!
Acha alinge na cheo chake cheo kitawaoa
 
Pm na yako ya simu,kama uko dar,tuonane siku moja,nikikuona tu, ntakwambia tatizo nini,
 
Sexless hapana,mimi ni mtu wa kawaida sana,ila siku utakavyokuja au tutakavyoonana na kusalimiana na tukikaa robo saa tu,nitakwambia tatizo ni 1,2,3.kama hutaki basi,ila maisha tunasaiidiana mawazo,maana huwezi jua nani atakusaiidia wapi.
 
Sexless,
Kubali kuliwa tu utapata ndoa hakuna mtu anayenunua boga kabla ya kuliangalia ubora wake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
eti taasisi yenye KE na ME [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hii ngumu kidogo
na hapo ndo tatzo lilipo mkuu, anaposema ukubali utumwa si kama unavyozania wewe ila anamaanisha umuheshimu mwanaume kama mwanaume na wewe ujue ni mwanamke tu. MUNGU akupe utakalo ila punguza kiburi na majidai.
 
Kama wewe ni bosi, punguza kununanuna, uwe Mtu wa tabasamu, kisha punguza dharau ya kibosi.
Wapo vijana wanakumezea mate. Fanya hivyo, matokeo yatakuwa mazuri.
 
Back
Top Bottom