Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako.
Vijana wengi wanashindwa kuomba nafasi za ajira kwa kuto kukidhi vigezo kutokana na makosa yaliofanyika. Mfumo huu ni duni na tatizo na wizara hiyo haiwajibiki kusikiliza malalamiko ya wananchi. Hpa tumewatafuta ni wiki sasa, simu wala email hazijibiwi hata kama ni ubize chances za kua busy week nzima ni ndogo sana.
Tunaomba msaada.