Hello Wanajamii Forum,
Katika pitapita zangu za kutafuta kazi hapa na pale nimekutana na kazi zilizotangazwa NIC, mojawapo ni Kazi ya Senior Marketing Officer II Position, inayomtaka mtu awe na bachelor kama bCom , Business admintration and so on, + COP Kama Added adv.
Sasa mimi vyote hivyo ninavyo na nilikuwa na deal na Insurance products zote kwenye bank moja hapa Mwanza.
Kibaya zaidi ni kwamba najaribu kuomba hii kazi lakini systerm ya Ajira Portal inanimbia siqualify kwa hii kazi, sasa najiuliza why si qualify wakati ninahiyo Bachelor, COP , nimefanya Marketing for ten years (Sasa am 37yrs), na my last title was Senior Business development officer ni full marketing hii, pia profile ya Ajira portal ni 95%- nilishaendanga kwenye interview ya TRA (japo sikupata)
sasa nipo hapa nawaza je hizi ajira kweli ni za mahitaji or za kisiasa.
na je hii website ni kweli inavigezo vyote vya kazi or ilimladi tu
hebu nisaidieni wadau - hii kazi nimeipenda hasa