Acha uongo ndugu yangu, mbona kwangu naweza kubadili.Nilikosea kujaza kozi husika diploma FTC ya kile nilichokisomea badala yake nikajaza kozi ya posta graduate diploma, Nimejitadi kuedit bado nimezunguka stationary wanashindwa naambiwa wenye uwezo kushughulikia shida yako ni maafisa utumishi wenyewe wadelete academic qualifications zote uanze kujaza upya
N ww mwnyw kushindwa kuendana na mfumo tuu ila ajira Portal hawana kosa lolote hapoMpaka nishajikatia tamaa na ajira zao
Mh uenda ujamwelewa kudelete academic qualifications user auna hiyo access ni Kwa system administrator TU ndio wanaweza kufuta hapo.Acha uongo ndugu yangu, mbona kwangu naweza kubadili.
Em ntumie details zako nikubadilishie
Mkuu nisaidie email uliyotumia kuwasiliana naoHawa jamaa mfumo wao hauko sawa kivile, lakini IT wao wako active muda wote ku reply all query ,majuzi nilikuwa na ishu ya mfumo wangu wa vyeti ilikuwa ijumaa but jumapili waka solve fasta, wao wanajua mahala penye udhaifu wana solve soon
Muulize mkuu wako wa kazi au nenda kwenye halmashauri husika (ofisini)Hao maafisa nawapataje nimewatafuta kwa email kimya kupiga simu zao ndio kabisa
πππ Kazi yenyewe sina huyo mkuu wangu wa kazi anatoka wapi? mkuu wangu wa kazi ni fundi ujenziMuulize mkuu wako wa kazi au nenda kwenye halmashauri husika (ofisini)
Unaelewa unachokijibu na kinachojadiliwa hapa lakini? Kaa Kwa kutuliaMuulize mkuu wako wa kazi au nenda kwenye halmashauri husika (ofisini)
Mimi mwenyewe nilimshangaa majibu yakeUnaelewa unachokijibu na kinachojadiliwa hapa lakini? Kaa Kwa kutulia
Ngoja waje wajuuzi watakusaidiaHello Wanajamii Forum,
Katika pitapita zangu za kutafuta kazi hapa na pale nimekutana na kazi zilizotangazwa NIC, mojawapo ni Kazi ya Senior Marketing Officer II Position, inayomtaka mtu awe na bachelor kama bCom , Business admintration and so on, + COP Kama Added adv.
Sasa mimi vyote hivyo ninavyo na nilikuwa na deal na Insurance products zote kwenye bank moja hapa Mwanza.
Kibaya zaidi ni kwamba najaribu kuomba hii kazi lakini systerm ya Ajira Portal inanimbia siqualify kwa hii kazi, sasa najiuliza why si qualify wakati ninahiyo Bachelor, COP , nimefanya Marketing for ten years (Sasa am 37yrs), na my last title was Senior Business development officer ni full marketing hii, pia profile ya Ajira portal ni 95%- nilishaendanga kwenye interview ya TRA (japo sikupata)
sasa nipo hapa nawaza je hizi ajira kweli ni za mahitaji or za kisiasa.
na je hii website ni kweli inavigezo vyote vya kazi or ilimladi tu
hebu nisaidieni wadau - hii kazi nimeipenda hasa