chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 548
- 74
Nitajie barabara yoyote nzuri nikupe buku, dogo unazipenda
Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha
Kwa kweli hicho kipande cha barabara kina kera.Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha
Ngoja tumalize Unguja na Pemba kwanza,nafasi hii adimu lazima itumike ipasavo kama vipi hamia Bwejuu,Makunduchi au Ngome Kongwe na Kizimkazi yake,si mmeahidi kuuenzi Muungano wa babaenu wa taifa sijui mnaogopa zenji itachukuliwa na waarab.Kabudi na waziri wa mambo ya ndani pigeni kazi wajukuu zenu wataishe Pemba.Nimepita wiki mbili zilizopita na Shabiby.. uzuri safari hii nimepita mchana.. hiyo road ni majanga.. Haina tofauti na kipande Cha Makambako to Songea
Serikali haina fedha.Matengenezo kwa kiwango cha lami ya barabara la kilometa 7 tu pale Iringa mjini yamesimama.Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha