Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

Huko bado hajafikia ya majohe viwege yaani utafieiki sio dar km 25tu kutoka katikati ya jiji
 
Malengo yenu wekezeni katika kumiliki boti binafsi
 
Huku Kinyelezi tunapata tabu sana. Hapa Majumba Sita Jucntion njia imefungwa yapata miaka 2 hatuoni dalili yoyote ya kufunguliwa. Na hawa Yapi Markez hawaonekani site. Yani ni mateso mtindo mmoja. Ili ufike Nyerere road inabidi uzunguke Gongo la Mboto. Ni shida sana.
Hii ni kweli abiria wangu wa bolt walilipa afu 18 badala ya 10k
 
Itabidi tufanye hookup. Barabara inakera, kwanini ile zege ya contena isiunganishwe pale mpaka msikitini kwa Dumba?
Aisee....
Kule kwanza wenyeji waache uswahili na ushirikina😁😁
 
Kariakoo na posta kumejaa mashimooo..masakii ndo usisemee sasa wew wa mbagalaa utuliee
 
Back
Top Bottom