Ubovu wa Barabara ya Mbagala ni chanzo kikubwa cha Ajali

Ubovu wa Barabara ya Mbagala ni chanzo kikubwa cha Ajali

MeVSMe

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
270
Reaction score
425
Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika kuwa "Kila Goli Moja milioni 10 na barabara mbovuu" Mkuu wa mkoa amefika sehemu ya tukio na kuahidi kuwa ndani ya mwaka barabara itakamilika.

Sasa hapa natamani kusikia maoni yenu, Mimi binafs hili suala la Kila goli millioni 10 huwa naliona ni propaganda kama zingine tu. Vipi upande wenu? Sio tu barabara ya MBAGALA ndo mbovuu ni miundombinu kibao tu lakini hakuna kutilia maanani. Lakini ukija vitu vya mzaha mzaha pesa zinatoka haswa.

Hawa ni walalamishi tu, Kijichi imetandazwa lami za kutosha za Dmdp, na Udart phase two wamepelekewa Mbagala au unazungumzía Mbagala ipi?
 
Hawa ni walalamishi tu, Kijichi imetandazwa lami za kutosha za Dmdp, na Udart phase two wamepelekewa Mbagala au unazungumzía Mbagala ipi?
Ndugu hii ni MBAGALA kokoto, maeneo ya mzinga. Barabara ya kwenda Kongoe. Walalamishi? Unasema walalamishi wakati DC MWENYEWE kakubali, an DARAJA limelegea kabisa Kila kukicha Magari yanaanguka kwenye maji unasema walalamishi
 
Huko ni Dar? Siyo Mkuranga?
 
Hawa ni walalamishi tu, Kijichi imetandazwa lami za kutosha za Dmdp, na Udart phase two wamepelekewa Mbagala au unazungumzía Mbagala ipi?
Umepita hio njia ya kutoka mbagala kwenda kongowe? Hio barabara ya kwenda kusini huko
 
Hii ni MBAGALA kokoto. Barabara ya kwenda Kongoe
Shid ya hiki kipande sio ubovu, shida ya hiki kipande ni lane 2 tu, barabara nyembamba sana na magar yanayopita ni mengi msongamano mkubwa sana unaleta jam, mfano jana gar imetumbukia hapa daraja la mzinga.
 
Aah nmepajua
Aisee hapo nikipitaga huwa napaogopa mana pana mlima afu kadaraja kadogo!! Kapo tangu nchi haijapata uhuru panahitaji mTengenezo mpaka mbagala kongowe
kadaraja tangu nchi haijapata uhuru😂
 
Back
Top Bottom