Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika kuwa "Kila Goli Moja milioni 10 na barabara mbovuu" Mkuu wa mkoa amefika sehemu ya tukio na kuahidi kuwa ndani ya mwaka barabara itakamilika.
Sasa hapa natamani kusikia maoni yenu, Mimi binafs hili suala la Kila goli millioni 10 huwa naliona ni propaganda kama zingine tu. Vipi upande wenu? Sio tu barabara ya MBAGALA ndo mbovuu ni miundombinu kibao tu lakini hakuna kutilia maanani. Lakini ukija vitu vya mzaha mzaha pesa zinatoka haswa.
Ndugu hii ni MBAGALA kokoto, maeneo ya mzinga. Barabara ya kwenda Kongoe. Walalamishi? Unasema walalamishi wakati DC MWENYEWE kakubali, an DARAJA limelegea kabisa Kila kukicha Magari yanaanguka kwenye maji unasema walalamishi

Aah nmepajua
Aisee hapo nikipitaga huwa napaogopa mana pana mlima afu kadaraja kadogo!! Kapo tangu nchi haijapata uhuru panahitaji mTengenezo mpaka mbagala kongowe
Aah nmepajua
Aisee hapo nikipitaga huwa napaogopa mana pana mlima afu kadaraja kadogo!! Kapo tangu nchi haijapata uhuru panahitaji mTengenezo mpaka mbagala kongowe
Shid ya hiki kipande sio ubovu, shida ya hiki kipande ni lane 2 tu, barabara nyembamba sana na magar yanayopita ni mengi msongamano mkubwa sana unaleta jam, mfano jana gar imetumbukia hapa daraja la mzinga.
Aah nmepajua
Aisee hapo nikipitaga huwa napaogopa mana pana mlima afu kadaraja kadogo!! Kapo tangu nchi haijapata uhuru panahitaji mTengenezo mpaka mbagala kongowe