Ubovu wa mipango Dar: Usafiri wageuka tatizo baada ya mkesha Mwamposa

Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Mkuu usitake wagalatia waje kutukana humu,maana huyo Mwamposa ni mungu wao
 
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Sasa shida hapo wapi kila mtu anaangalia wapi Kuna biashara huwezi lazimisha mtu biashara zimekuwa huria
 
Binafsi naona kubadili route ili ukapige pesa route nyingine si sahihi.
Hizi basi si zimesajiliwa kufanya kazi route fulanifulani.
Sasa unapovunja utaratibu, unaleta usumbufu kwa wengine si sahihi kabisa.
 
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Nilitaka kuandika kitu kuhusu huyu Mwamposa nikakumbuka nilipigwa ban ya mwezi mzima na moderator ambaye ni mfuasi wa Mwamposa kwa kuandika maoni negative (kwa mtazamo wa moderator)kwa Mwamposa.
 
Watu wanageuzwa mazuzu hivi hivi na jamaa anakusanya mabilioni bila kulipa kodi. Nafikiri kuna viongozi wa serikali wanamtumia huyu Mwamposa kutakatisha fedha.

Inabidi kiwekwe kigezo cha IQ kubwa kabla mtu hajashika nyadhifa fulanifulani nchini.

Nchi inakwenda utadhani inaongozwa na mazuzu
 
Back
Top Bottom