Ubovu wa mipango Dar: Usafiri wageuka tatizo baada ya mkesha Mwamposa

Ubovu wa mipango Dar: Usafiri wageuka tatizo baada ya mkesha Mwamposa

Kama kawe ilitakiwa barabara ipanuliwe mapema.wasiache.waswahili wajenge magorofa barabarani akina muyama na wengineo.

Kawe ni sehemu kubwa sana kwa kupokea abiria inahitaji barabara pana.zaidi ya.iliyopo na wajenge.stendi haswa pale posta sababu ya.kuboost fremu.za lugalo
 
Biblia zenu na baadhi ya vitabu vyenu vya kidini vilishasema mbona, Kuna nyakati watatokea makanjanja watakaojifanya wao ndio wao, watapretend adharani kuwa wao ndio mitume, watetezi, waombezi, wachungaji, manabii na wakombozi wenu kumbe nyuma ya pazia ni washenzi wauaji, waongo, wabakaji, wezi na wahujumu wa uhalisia.

Shetani si mjinga eti awaache watu waujue ukweli kiwepesi hivyo? 😅😅, endeleeni kudanganywa na huyo mfanyabiashara wa kidini aliyeamua kuwaibia kupitia mgongo wa dini.

Na bado si huyu tu wataibuka wengi baada yake wengi sana watakuja na watawaokota wengi sana, huu ni mwanzo tu.

Haya yote yalishajulikana hayana budi kutokea, huko kwenye makusanyiko ya hao matapeli mnalishwa Kila aina ya TAKATAKA na kulogwa hizo akili zenu ndiomaana wafuasi wa hiyo mikusanyiko ni wabishi kukubali ukweli hata uwape ushahidi wa aina gani, wamesha Fall in love ktk UONGO.
 
Siku .moja mungu akinibariki daladala zangu Zote mwisho kawe kwa MWAMPOSA
 
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Suka na konda wanafata nyomi ilipo😀
 
Nilitaka kuandika kitu kuhusu huyu Mwamposa nikakumbuka nilipigwa ban ya mwezi mzima na moderator ambaye ni mfuasi wa Mwamposa kwa kuandika maoni negative (kwa mtazamo wa moderator)kwa Mwamposa.
Andika tu mkuu kwa idhini yangu huyo mod mpuuzi asikutishe pumbavu zake!
 
Hiyo fursa kwa daladala na kwa mwamposa, kutesa kwa zamu.

Gwajima alikuwa anapigia hapo hapo Tanganyika Packers, umaarufu umeisha siku hizi anasubiri waumini kanisani.

Ulipaswa nawe uende huko kwa mwamposa utuletee taarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom