Ubovu wa mipango Dar: Usafiri wageuka tatizo baada ya mkesha Mwamposa

Ubovu wa mipango Dar: Usafiri wageuka tatizo baada ya mkesha Mwamposa

Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?

Demand and supplies is not controlled by the government kwa mamlaka, inakuwa controlled kwa strategies na Kanuni
 
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Wajinga wameamua kujikisanya kwa makundi yao kulishwa matango pori,unailaumu serikali
 
Wajinga wameamua kujikisanya kwa makundi yao kulishwa matango pori,unailaumu serikali

Utapeli ni kosa la jinai dhidi ya Jamhuru ya muungano wa Tanzania.

Kujipatia pesa kwa udanganyifu ilipaswa serikali ikunjue makucha yake kama ilivyofanya kwa yule aliyekuwa akijiita kiboko ya wachawi.
 
Tatizo zaidi ni serikali inabariki na kuwezesha brainwashing ya watu wake. This is very unfortunate.
Serekali haiwezi kumzuia mtu kama mwambosa.

Kwa maana kondoo wake hutumika kama vile wanavyotumika wa simba na yanga.

Ukiukamata mpira, kisha ukawa na mtu kama mwambosa unakua na uwezo wa ku brain wash karibu asilimia 80 ya mitanganyika.

let's say labda Watu wana mpango wa kuandamana j3, siku ya j2 mwambosa akisema kuandamana ni dhambi, na wale wa mpira nao wakatia neno basi j3 ya maandamano unaeza ukajikuta peke yako.(nimetaja maandamano kama mfano, ila vitu ni vingi)
 
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Serikali ilisharogwa na Mwamposa, hawawezi kusema lolote.
 
Uko sahihi kabisa. Kwa lile janga la Moshi miaka kadhaa iliyopita,alitakiwa awe gerezani kwa kesi ya mauaji.
Kumbe umeshajuwa nina maana gani, hii serikali ni hovyo kabisa. Naona kuna wajeda mlangoni wananigongea mlango usiku huu, ngoja nipande darini wasiniue kwa kusema ukweli.
 
Mwamposa kakaa kimya watu wameangukiwa na Ghorofa kariakoo. Nilitegemea pale ndo angeonyesha upako wake. Siyo leo anakuja kuwafanyia uusanii wadanganyika.
 
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Ss hapo serikali inahisikaje🤣
Watu wanatumia fursa
 
Mi sio fan wa Mwamposa ila nachompendea hanaga Muda wa kujibu wanaoongea anachanja mbuga

Mnaoona anakosea,anatapeli,anadnganya wasidieni basi nyie watu Kwa kuwafundisha hiyo kweli
 
Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa

Njiani kuna foleni kubwa

Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka

Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Hahaha
Mm mgalatia lkn kumtaja huyo jama kuna wagalatia wenzangu hawatakuelewa!!
 
Back
Top Bottom