Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mkuu usitake wagalatia waje kutukana humu,maana huyo Mwamposa ni mungu waoGari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa
Njiani kuna foleni kubwa
Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka
Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Mkuu usitake wagalatia waje kutukana humu,maana huyo Mwamposa ni mungu wao
Sasa shida hapo wapi kila mtu anaangalia wapi Kuna biashara huwezi lazimisha mtu biashara zimekuwa huriaGari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa
Njiani kuna foleni kubwa
Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka
Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Wawe wanatoka saa 7 usiku muda ambao foleni imepungua barabaraniSasa shida hapo wapi kila mtu anaangalia wapi Kuna biashara huwezi lazimisha mtu biashara zimekuwa huria
Binafsi naona kubadili route ili ukapige pesa route nyingine si sahihi.Sasa shida hapo wapi kila mtu anaangalia wapi Kuna biashara huwezi lazimisha mtu biashara zimekuwa huria
Biashara zimeshakuwa huria pia hakuna mtu anaangalia utu kila mtu anaangalia pesa Iko wapiWawe wanatoka saa 7 usiku muda ambao foleni imepungua barabarani
Nilitaka kuandika kitu kuhusu huyu Mwamposa nikakumbuka nilipigwa ban ya mwezi mzima na moderator ambaye ni mfuasi wa Mwamposa kwa kuandika maoni negative (kwa mtazamo wa moderator)kwa Mwamposa.Gari zimehamisha route zinaenda kwa Mwamposa
Njiani kuna foleni kubwa
Gari za kawaida kubeba watu ktk route ya Bunju, tegeta, kunduchi hakuna. Wananchi wanateseka
Hivi kwa nini serikali inaruhusu tukio moja kudisrupt life za watu?
Watu wanageuzwa mazuzu hivi hivi na jamaa anakusanya mabilioni bila kulipa kodi. Nafikiri kuna viongozi wa serikali wanamtumia huyu Mwamposa kutakatisha fedha.Tatizo zaidi ni serikali inabariki na kuwezesha brainwashing ya watu wake. This is very unfortunate.
Watu wanageuzwa mazuzu hivi hivi na jamaa anakusanya mabilioni bila kulipa kodi. Nafikiri kuna viongozi wa serikali wanamtumia huyu Mwamposa kutakatisha fedha.