Biblia zenu na baadhi ya vitabu vyenu vya kidini vilishasema mbona, Kuna nyakati watatokea makanjanja watakaojifanya wao ndio wao, watapretend adharani kuwa wao ndio mitume, watetezi, waombezi, wachungaji, manabii na wakombozi wenu kumbe nyuma ya pazia ni washenzi wauaji, waongo, wabakaji, wezi na wahujumu wa uhalisia.
Shetani si mjinga eti awaache watu waujue ukweli kiwepesi hivyo? π
π
, endeleeni kudanganywa na huyo mfanyabiashara wa kidini aliyeamua kuwaibia kupitia mgongo wa dini.
Na bado si huyu tu wataibuka wengi baada yake wengi sana watakuja na watawaokota wengi sana, huu ni mwanzo tu.
Haya yote yalishajulikana hayana budi kutokea, huko kwenye makusanyiko ya hao matapeli mnalishwa Kila aina ya TAKATAKA na kulogwa hizo akili zenu ndiomaana wafuasi wa hiyo mikusanyiko ni wabishi kukubali ukweli hata uwape ushahidi wa aina gani, wamesha Fall in love ktk UONGO.