Ubovu wa product ya Mo ukwaju


Kwa watu wanaolewa Marketing watakuelewa mkuu ni haki yako kama customer kuichambua bidhaa kifupi watu wa Marketing wanamuangusha sana MO sio siri hakuna creativity kama huna creativity dunia ya sasa hutapata kitu
 

Boss umemaliza kila kitu!

Nimefanya kazi kiwanda cha Mo also Azam, kuna utofauti mkubwa sana between those two people

M/Mungu ampe maisha marefu huyu mzee wa Azam

The Man knows how to pay well his employees
 
Boss umemaliza kila kitu!

Nimefanya kazi kiwanda cha Mo also Azam, kuna utofauti mkubwa sana between those two people

M/Mungu ampe maisha marefu huyu mzee wa Azam

The Man knows how to pay well his employees
Mkuu Mo muhuni tu yn uhindi umemuharibu sn tazama ata mazingira yanayozunguka viwanda vyake pamoja na nyenzo wanazofanyia kazi vibarua wake yn ni hatarishi na kwakwel ata huo utajiri wake ambao tunaambiwa ndo namba moja bongo ni kutokana na ubahili wake uliopitiliza lkn km Bakhressa angekuwa bahili km yeye czani km japo angemkaribia, Mo kwny bidhaa yake ambayo ataiuza sh 500 bac ujue anaweza akapata ata 400 kutokana na u low quality wa material anazotumia tofaut na Bakhressa kwa kifupi Mo anapaswa kuchunguzwa ubora wa bidhaa zake
 
Mtiti wa mkwaju ni balaa.... Mti unapandwa leo ila kukua tu mbinde, mimi nimekua nimekuta kimti kidogo pale home lakini mpaka leo kiko vile vile na hakijaanza kuzaa. Watalaamu kujeni mpige pesa hku
 
Eti kangomba wachache tumeelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukwaju rasmi umeingia kama nyara za serikali ukitak safirisha lzm uwe n kibali naisi wakulima sasa inabid waangalie upnde mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…