Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Ukwaju? Ushachelewa,mashamba yapo kibao sana!!kuna zao huko mbeleni litakuja kuwa almasi nishanunua shamba nimepanda vyema,subira yavuta kheri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukwaju? Ushachelewa,mashamba yapo kibao sana!!kuna zao huko mbeleni litakuja kuwa almasi nishanunua shamba nimepanda vyema,subira yavuta kheri
Hapa ninachokiona Mo ame target bidhaa zake kwa watu wa hali ya chini hizi product zake maduka ya uswahilini ndio zimejaaa na wanazipenda sababu ya gharama ndogo sio rahisi kuzikuta minisupermarket au maduka yaliyopo kwenye makazi ya watu wenye maisha ya kipato cha kati. Nahisi hata yeye hawezi tumia hizi sabuni na juice nyumbani kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23] watu sijui mna ugomvi naeMo ukwaju ni kama dawa ya ngiri.
😛😛😛😛😛😛😛😛😛Swahiba hako kanafaa sana ukiwa umeamka na mning'inio kichwani halafu upate ka baridiiiiii
Kweli aise. Anazidiwa mpaka na JamboMo anafel. Kila kitu ye nikucopy tu!!!
Copy and paste is not a crime if you do it in a creative wayAache kukop product za watu....
Ukinyoa lazima upate upere[emoji1787][emoji1787]Zinanyoa vizuri kweli dadake?[emoji23][emoji23]
Huo ndio ukweli Mo hatumii bidhaa zake [emoji3]Hahahaha yani atengeneze bidhaa ambayo hata yeye hataitumia?
umechambua bidhaa ya watu kama unaijua vile imepoteza muda wako, energy focus kwenye mishe zako uwe bilionea
Mkuu we yanga au!?Kumbe mo nae kaleta juice ya ukwaju! Nimeona hiyo chupa tu nimeamua kutoijaribu hiyo juice.
Sina ushabiki wa mpira hata kidogo mkuuMkuu we yanga au!?
Tambi zake pia mbayaaaKwenye ubora Mo hamkuti uncle Bakhresa. Anza na unga wa chapati wa mo. Ni hovyooo
Maji yake masafi mfuniko haufunguki vzr
Ukitaka kujichubua mikono au hata uso tumia sabuni ya unga ya Mo.
Ukitaka ujijazie sumu mwilini na kupungukiwa nguvu za kiume kunywa juice za Mo.
Acha roho ya kimasikini muhamasishe ajaribu ili baadae nae aje na mrejesho wa alichokionja maana vinywa vinatofautiana namna ya kutafasili ladha ya vitu, na pia ladha usiyoielewa wewe Kuna wengine wanaihusudu. SIYO KILA BIDHAA SOKONI NI YA KILA MTUUsijaribu mkuu kabisa nimbaya haina radha kabisa
Mkuu una access ya kujua vitu anavyovitumia[emoji848][emoji848]Huo ndio ukweli Mo hatumii bidhaa zake [emoji3]