Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Ubovu wa product ya Mo ukwaju

Siwashauri kutumia chochote iwe bakhresa au mo
Mi naonaga bora sayona juices
 
Hahahaha yani atengeneze bidhaa ambayo hata yeye hataitumia?
Hapa ninachokiona Mo ame target bidhaa zake kwa watu wa hali ya chini hizi product zake maduka ya uswahilini ndio zimejaaa na wanazipenda sababu ya gharama ndogo sio rahisi kuzikuta minisupermarket au maduka yaliyopo kwenye makazi ya watu wenye maisha ya kipato cha kati. Nahisi hata yeye hawezi tumia hizi sabuni na juice nyumbani kwake.
 
Hawa watu hakuna walichogundua. Wote kuna sehemu wanaenda wanakuja na idea na lengo ni kuteka soko. Ukiona bidhaa inauza sana sokoni usikae tu, we naye tengeneza yako uweze penetrate soko. Ukishaingia sokoni ndio waanza rekebisha ubora na hapo ni baada ya bidhaa yako kuonekana bei poa
 
umechambua bidhaa ya watu kama unaijua vile imepoteza muda wako, energy focus kwenye mishe zako uwe bilionea
 
Kwenye ubora Mo hamkuti uncle Bakhresa. Anza na unga wa chapati wa mo. Ni hovyooo
Maji yake masafi mfuniko haufunguki vzr
Ukitaka kujichubua mikono au hata uso tumia sabuni ya unga ya Mo.
Ukitaka ujijazie sumu mwilini na kupungukiwa nguvu za kiume kunywa juice za Mo.
Tambi zake pia mbayaaa
 
Usijaribu mkuu kabisa nimbaya haina radha kabisa
Acha roho ya kimasikini muhamasishe ajaribu ili baadae nae aje na mrejesho wa alichokionja maana vinywa vinatofautiana namna ya kutafasili ladha ya vitu, na pia ladha usiyoielewa wewe Kuna wengine wanaihusudu. SIYO KILA BIDHAA SOKONI NI YA KILA MTU
 
Back
Top Bottom