johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeelezwa na kada mmoja maarufu ambaye pia ni mjumbe wa vikao mbalimbali vya CCM ya kwamba, katika uchaguzi mkuu ujao wagombea wote wa chama chao ni lazima wawe ni wakazi wenye makazi ya kudumu katika majimbo wanayogombea.
Amedai ile biashara ya wakazi wa Dar na miji mingine kutimba majimboni nyakati za uchaguzi na kununua uongozi imefikia tamati. Tusubiri muda utaongea!
Mytake; Ingependeza kama utaratibu huu ungetungiwa sheria ili ivibane vyama vyote vya siasa!