Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani katika majimbo hakuna ofisi za wabunge? Kwanini wafuatwe guest house?Mkuu issue siyo ukabila ila mambo ya kumfuata mbunge Guest House linapotokea tatizo ndio CCM hawalitaki!
Nimeelezwa na kada mmoja maarufu ambaye pia ni mjumbe wa vikao mbalimbali vya CCM ya kwamba, katika uchaguzi mkuu ujao wagombea wote wa chama chao ni lazima wawe ni wakazi wenye makazi ya kudumu katika majimbo wanayogombea.
Amedai ile biashara ya wakazi wa Dar na miji mingine kutimba majimboni nyakati za uchaguzi na kununua uongozi imefikia tamati. Tusubiri muda utaongea!
Mytake; Ingependeza kama utaratibu huu ungetungiwa sheria ili ivibane vyama vyote vya siasa!
Wewe nani kakwambia jimbo la Mtama linakaliwa na wamakua?Kama huna nyumba na makazi kwenyu imekula kwako. Wa mitama ajiandae kama sio mmakuwa kwisha
Ofisi za wabunge muda wote zimefungwa..nyingine zimeota hadi majani kama jimbo la mtama pale..watu wakiwataka wabunge wanawatafuta majumbani..sasa balaa inakuja pale anapokuwa sio mkazi..ndio msahau kabisaKwani hakuna Ofisi ya Mbunge hadi afuatwe Guest!!! Akili za hovyo sana hizi. Ina maana Mbunge atafuatwa nyumbani kwaken.. ?? Jamani tuwe objective na tutangulize masilahi ya nchi mbele dhidi ya masilahi ya watu wachache ambao wameshajiona kuwa ni miungu watu.
Tumevunja himaya za koo za viongozi, kwa nini tunataka kujenga nyingine???
Nakubaliana na wewe mkuu!Hili linatakiwa liigwe na vyama vyote au liwekwe kabisa kwenye sheria ya uchaguzi.Sababu ukiangalia sehemu kubwa ya wabunge wa vyama vyote CCM na upinzani wengi ni wakazi wa Dar es salaam wilaya ya kinondoni.Ona akina zitto kabwe,Tundu Lisu ,akina mbowe,Mbatia,NK wote wakazi wa dar ambao huenda mikoani kulaghai kisha wakipataa kura na wakipata miposho watumbulie maisha dar es salaam.
BUNGE la jamhuri ya muungano wa tanzania limejaa wabunge wakazi wa wilaya ya kinondoni dar es salaaam.Wilaya ya kinondoni ndio inaongoza tanzania nzima.Hii sio sawa.Iwekwe na itamkwe kabisa kuwa awe mkazi aliyekaa eneo husika kwa kipindi cha miaka mitano mfululizo eneo hilo kabla ya kugombea.
Kweli mkuu unakuta wananchi wamejaa Guest house kumsubiria mheshimiwa mbunge!Ofisi za wabunge muda wote zimefungwa..nyingine zimeota hadi majani kama jimbo la mtama pale..watu wakiwataka wabunge wanawatafuta majumbani..sasa balaa inakuja pale anapokuwa sio mkazi..ndio msahau kabisa
Wewe nani kakwambia jimbo la Mtama linakaliwa na wamakua?
Utumbo ndio nini?!!!!Mawazo finyu ya Polepole. Alipobanwa kwamba sasa itakuwaje kwa maDED na maDC wanaoamua mwaka wa mwisho kwenda jimboni kugombea wakati hawajaishi pale? Majibu yake ilikuwa utumbo tu.
Nani aunge huu ushenzi mkono?Huu ni mtamu kwa wanaccm tuu. Ktk yule Yahya wa Moshi alimwaga pesa wenye mji wakamtosa? Sio shida ya Wengie ni ya CCM?Hili linatakiwa liigwe na vyama vyote au liwekwe kabisa kwenye sheria ya uchaguzi.Sababu ukiangalia sehemu kubwa ya wabunge wa vyama vyote CCM na upinzani wengi ni wakazi wa Dar es salaam wilaya ya kinondoni.Ona akina zitto kabwe,Tundu Lisu ,akina mbowe,Mbatia,NK wote wakazi wa dar ambao huenda mikoani kulaghai kisha wakipataa kura na wakipata miposho watumbulie maisha dar es salaam.
BUNGE la jamhuri ya muungano wa tanzania limejaa wabunge wakazi wa wilaya ya kinondoni dar es salaaam.Wilaya ya kinondoni ndio inaongoza tanzania nzima.Hii sio sawa.Iwekwe na itamkwe kabisa kuwa awe mkazi aliyekaa eneo husika kwa kipindi cha miaka mitano mfululizo eneo hilo kabla ya kugombea.
Hivi umemuelewa kweli? Kwani kasema uwe mzaliwa wa eneo husika au UWE NA MAKAZI ENEO HUSIKA?Mfano mgombea wa Urais inabidi awe mzaliwa wa Dodoma yalipo makao makuu ya Nchi na ccm kwa maana ingine ukabila huenda ukarejea kwa kasi kubwa