johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna watu wanawalengaNimeelezwa na kada mmoja maarufu ambaye pia ni mjumbe wa vikao mbalimbali vya CCM ya kwamba, katika uchaguzi mkuu ujao wagombea wote wa chama chao ni lazima wawe ni wakazi wenye makazi ya kudumu katika majimbo wanayogombea. Amedai ile biashara ya wakazi wa Dar na miji mingine kutimba majimboni nyakati za uchaguzi na kununua uongozi imefikia tamati. Tusubiri muda utaongea!!Mytake; Ingependeza kama utaratibu huu ungetungiwa sheria ili ivibane vyama vyote vya siasa!
Kwanini mkuu?!!Ccm ni vichaa
Kumbe ni watu mie nilihisi inalengwa miti ya poriniKuna watu wanawalenga
Akili za Ki-lumumbaKumbe ni watu mie nilihisi inalengwa miti ya porini
Mkuu issue siyo ukabila ila mambo ya kumfuata mbunge Guest House linapotokea tatizo ndio CCM hawalitaki!Itaendekeza ukabila
Mkuu Nape ana makazi Mtama na kwakuwa sasa yeye siyo waziri nadhani makazi yale yatakuwa ya kudumu!Kama huna nyumba na makazi kwenyu imekula kwako. Wa mitama ajiandae kama sio mmakuwa kwisha
Nnape Nnauye.Kuna watu wanawalenga
Mfano mgombea wa Urais inabidi awe mzaliwa wa Dodoma yalipo makao makuu ya Nchi na ccm kwa maana ingine ukabila huenda ukarejea kwa kasi kubwahahahahahahha mbinu za sisiemu bwana kama ni hivyo walau atakaye gombea nafasi ya Rais awe na makazi ya kudumu kila mkoa maana yeye kote anahitaji kura
Wanakurupuka tu na waliochagua wabunge mawaziri hao mawaziri wakae jimboni?Kwanini mkuu?!!
Mkuu Rais jimbo lake la uchaguzi ni TANZANIA!Mfano mgombea wa Urais inabidi awe mzaliwa wa Dodoma yalipo makao makuu ya Nchi na ccm kwa maana ingine ukabila huenda ukarejea kwa kasi kubwa
Mkuu Nape ana makazi Mtama na kwakuwa sasa yeye siyo waziri nadhani makazi yale yatakuwa ya kudumu!
yule mbuzi atagombea wapi ?Nimeelezwa na kada mmoja maarufu ambaye pia ni mjumbe wa vikao mbalimbali vya CCM ya kwamba, katika uchaguzi mkuu ujao wagombea wote wa chama chao ni lazima wawe ni wakazi wenye makazi ya kudumu katika majimbo wanayogombea. Amedai ile biashara ya wakazi wa Dar na miji mingine kutimba majimboni nyakati za uchaguzi na kununua uongozi imefikia tamati. Tusubiri muda utaongea!!Mytake; Ingependeza kama utaratibu huu ungetungiwa sheria ili ivibane vyama vyote vya siasa!
kwani hujui agenda kuu yawatafuta uheshimiwa ??Itaendekeza ukabila