Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Bunge la EAC lina nini cha maana? Hakuna cha maana ni kama gentlemen club tu, hakuna ishu ya maana wanayo zungumza, hawana maamuzi
 
.
Kwa mlioangalia usaili wa Wabunge wa EALA, hili swali la Mhe. Joseph Kasheku Musukuma ndio swali muhimu kuliko maswali yote, na kwenye uzi wangu huu ndio lilikuwa swali la kwanza Swali hili ndio swali lililolisaidia Taifa kutuondolea kokoro moja kule EALA.
Kiukweli hawa wabunge wa darasa la 7, wanalisaidia sana taifa letu!.

Nashauri hata Kibajaji, apewe Ph.D na UDSM!. https://www.jamiiforums.com/threads...ezo-mkubwa-na-pia-ana-powers-fulani.1396533[/

Taifa linaokolewa na hawa ma darasa 7!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…