Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Bunge la EAC lina nini cha maana? Hakuna cha maana ni kama gentlemen club tu, hakuna ishu ya maana wanayo zungumza, hawana maamuzi
 
.
Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
  1. Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea kwa awamu yaa ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndio wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, tuwarudishe, na wale mabubu, tuwashukuru kwa uwakilishi wao kwa kuwaambia asante, tuwapumzishe!. Baada ya kuiingiza DRC ndani ya EAC na ujio wa AfCFTA, hizi sio zama za Tanzania kuwakilishwa na mtu ili mradi ni mtu, we real need competent people kutuwakilisha.

    Karibuni.

    Paskali.
Kwa mlioangalia usaili wa Wabunge wa EALA, hili swali la Mhe. Joseph Kasheku Musukuma ndio swali muhimu kuliko maswali yote, na kwenye uzi wangu huu ndio lilikuwa swali la kwanza
Swali hili ndio swali lililolisaidia Taifa kutuondolea kokoro moja kule EALA.
Kiukweli hawa wabunge wa darasa la 7, wanalisaidia sana taifa letu!.

Nashauri hata Kibajaji, apewe Ph.D na UDSM!. https://www.jamiiforums.com/threads...ezo-mkubwa-na-pia-ana-powers-fulani.1396533[/

Taifa linaokolewa na hawa ma darasa 7!.
P
 
Back
Top Bottom