Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Mimi naomba tu kuchukua nafasi kukupongeza kushiriki kwenye huo mchakato.

Lakini pia nikupe pole mapema kabisa! Maana uwezekano wa kupita kwenye huo mchakato, kiukweli ni mdogo sana. Na hii yote ni kwa sababu ccm ya sasa ina wenyewe! Na wewe si mmoja wao bila shaka.

Wenyewe kamwe huwezi kuwaona wakilalamika au kuingiwa na mchecheto huu wa kwako! Wenye ccm yao, huwa wanasubiri tu siku ya tukio ifike, ili wapitishwe.
 
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.

Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.

Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa ni uzalendo wa mtu kwa taifa lake na kujitoa kwake kutumikia jamii, Lakini sasa sifa kuu ya uongozi ni kiwango cha ukwasi mtu alionacho na kiasi gani anaweza kugawa kwa wajumbe na kukichangia chama!. Hivyo ili kumpima mtu kiwango cha ukwasi wake, baadhi ya vyama vimeweka viwango vya juu vya fedha za kujaza fomu kuanzia milioni 1 hadi milioni 5 kwa baadhi ya nafasi, ila kama wewe ni hohehahe mwenzagu na mimi, huna kitu!, pita mbali kabisa na uongozi wa umma!.

Kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 100 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi!.

Hivyo mimi kama Mtanzania Mzalendo, Natoa mchango wangu kuhamasisha uzalendo, kwa chama changu, na nchi yangu, Kwa swali moja muhimu, jee turudishe mtindo wa kuwatafuta wazalendo wa kweli wa Nchi hii, ndio wateuliwe kwenye uongozi wa umma hata kama hawana kitu, au tuendelee kuwateua wenye kitu ndio watuwakilishe hata kama hawana uwezo?.

Bandiko hili ni Bandiko elimishi la kukikumbusha chama changu CCM kututeulia watu wenye uzalendo wa kweli, kipimo cha Uzalendo wa kweli, ni mapenzi ya kweli na ya dhati kuitumikia nchi yako na Ikibidi, kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!. Ukiona jina la mtu yoyote, anataka uongozi wa umma, kabla hata hatujajua uwezo wake, swali letu la kwanza liwe ni Jee mtu huyu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili?. Uzalendo wake ni upi?. Ndipo tuje kwenye jee ana sifa na vigezo?, na la mwisho ni liwe, jee ana uwezo?. Huu uwezo unapimwa kwa ameishawahi kufanya nini?.

Mtu akitaka uongozi wa umma, afanyiwe kwanza uzalendo test, akipita ndio atauliwe hata kama hana fedha na akifeli atoswe hata kama ana ukwasi mkubwa!. kuu ni kukidhi sifa na vigezo, na kwa upande wa elimu ni mtu kujua kusoma na kuandika, lakini kwenye ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wabunge wale ni wawakilishi wa nchi na sio wawakilishi wa watu, hivyo wawakilishi wetu, ni lazima wawe na sifa za ziada za kwenda kuwakilisha nchi na sio tunapeleka baadhi ya wabunge mabubu, ambao michango yao haionekani kwenye hansard zozote za Bunge hilo, wakati baadhi ya majirani zetu, wanatamba kwenye bunge hilo, utadhani Watanzania, hatuna wawakilishi!.

Nikijotolea tena mfano mimi mwenyewe, katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari, kuna mengi niliandika, niliotangaza, na nilioshauri, yamelisaidia taifa langu, naomba kwa sasa niyasitaje wala kuyaorodhesha, nisije nikaonekana najifagilia.

Katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari as nobody, kuna mengi nimeshauri, yalifuatwa yamesaidia, yaliyopuuzwa matokeo tunayajua, hivyo kila kunapotokea ushauri mzuri wa kusaidia na ukapuuzwa na matokeo ya kupuuzwa huko ni majanga, na kuishia kuumia, sasa nimefikia uamuzi wa kuendelea kuumia basi!, nimeamua kujitosa ila kusaidia.

Sasa baada ya miaka 30 ya uandishi wa habari as nobody na kupuuzwa, nilijitolea kusaidia mambo mengi as nobody na mengine yakapuuzwa na kuleta majanga. Sasa kumetokea fursa ya kuwa somebody, nimejitathmini na kujiona, kwa sasa mimi kama mwanasheria, na wakili, kuna mahali nitaweza kulisaidia sana taifa langu, kuliko hata kwenye sekta ya habari.

Hatua ya kwanza ni kubadili status ya kutoka kuwa nobody na kuwa somebody, hivyo nitakuwa na uwezo mkubwa kubisha hodi na kuingia popote kushauri, ikiwemo kumsaidia Rais wa JMT, ambako ni kulisaidia taifa.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT anaweza kushauriwa vyovyote na yeyote, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi, yeye kama yeye, na sio lazima, apokee ushauri wa yeyote.

Ukijitolea kumshauri rais wa JMT jambo lolote, katika ushauri huo, weka na matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wako huo, hivyo ukitoa ushauri, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako, ushauri wako usipofuatwa, hiyo sasa sio juu yako, ila unaweza kuyatumia matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri huo kama shamba darasa ili next time ukitoa ushauri, uzingatiwe.

Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
  • Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea awamu ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndie wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, na wale mabubu, wakatwe, watupe pembeni. Hizi sio zama za uwakilishi wa mabubu kwenye uwakilishi wa nchi!.
  • Watu wapya waliojitokeza kutaka kutuwakilisha, kila mmoja apeleke a write up hata ya page 2, yenye kueleza ajenda za nchi anazotaka kwenda kuzipigania kwenye EALA na kupewa dakika 5 za kujieleza kwa lugha ya Kiingereza safi kilicho nyooka!. Moja ya sababu za baadhi ya wawakilishi wetu kuwa mabubu kwenye mijadala ya kuchangia hoja za Bunge la EALA, ni Lugha.
Maadam mimi mwandishi wenu wa makala hizi za kwa Maslahi ya Taifa, nina jinasibu kuwa ni Mzalendo, nina uwezo, yaani ability na niko capable, kwa maana ya capability, kuna siku nitauzungumzia uzalendo, uwezo wangu wa ability na capability but not now, nisije tafsiriwa kuwa ni kujipigia Debe, kwasababu humo ndani ya utitiri huo, nami nimo!.

Unaionaje ushauri huu?.

Karibuni.

Paskali.
Wewe si mgombea acha kudictate Chama, subiri upimwe kwa sifa zako
 
Ili uweze kupata nafasi hakikisha una godfather ndani ya kikao cha maamuzi, la sivyo utalia na kusaga meno.

Technically know who ndio mpango mzima CCM. Hata kama una uwezo na ushawishi kiasi gani kama huna mtu anayekujua kwenye vikao vya maamuzi ambaye atatetea jina lako basi sahau mkuu.
 
The then TANU and later CCM was the party of "HAVE NOTS" but the CCM of nowadays is party of "HAVES AND THEIR FAMILIES & FRIENDS".
Kwaiyo unapotaka kugombea Hakikisha umefanya networking na Hilo kundi la pili vinginevyo jihesabu huna nafasi kwenye Political Freemarket of CCM.
"Wakina Nape wameshasema wenye Chama chao wamerudi,wewe Mwandishi wa habari Nguli ujaelewa tu!!, Kaka Pascal unatuangusha"
 
Sasaivi tunaanza kuangalia elimu na uwezo wa mtu kiakili na kingine ni ukwasi na exposure!

Tumechoka na maskini ambao hamna lolote zaidi ya kuishi kwa nadharia za kijamaa kumbe mnataka kupiga hela tu
 
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.

Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.

Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa ni uzalendo wa mtu kwa taifa lake na kujitoa kwake kutumikia jamii, Lakini sasa sifa kuu ya uongozi ni kiwango cha ukwasi mtu alionacho na kiasi gani anaweza kugawa kwa wajumbe na kukichangia chama!. Hivyo ili kumpima mtu kiwango cha ukwasi wake, baadhi ya vyama vimeweka viwango vya juu vya fedha za kujaza fomu kuanzia milioni 1 hadi milioni 5 kwa baadhi ya nafasi, ila kama wewe ni hohehahe mwenzagu na mimi, huna kitu!, pita mbali kabisa na uongozi wa umma!.

Kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 100 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi!.

Hivyo mimi kama Mtanzania Mzalendo, Natoa mchango wangu kuhamasisha uzalendo, kwa chama changu, na nchi yangu, Kwa swali moja muhimu, jee turudishe mtindo wa kuwatafuta wazalendo wa kweli wa Nchi hii, ndio wateuliwe kwenye uongozi wa umma hata kama hawana kitu, au tuendelee kuwateua wenye kitu ndio watuwakilishe hata kama hawana uwezo?.

Bandiko hili ni Bandiko elimishi la kukikumbusha chama changu CCM kututeulia watu wenye uzalendo wa kweli, kipimo cha Uzalendo wa kweli, ni mapenzi ya kweli na ya dhati kuitumikia nchi yako na Ikibidi, kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!. Ukiona jina la mtu yoyote, anataka uongozi wa umma, kabla hata hatujajua uwezo wake, swali letu la kwanza liwe ni Jee mtu huyu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili?. Uzalendo wake ni upi?. Ndipo tuje kwenye jee ana sifa na vigezo?, na la mwisho ni liwe, jee ana uwezo?. Huu uwezo unapimwa kwa ameishawahi kufanya nini?.

Mtu akitaka uongozi wa umma, afanyiwe kwanza uzalendo test, akipita ndio atauliwe hata kama hana fedha na akifeli atoswe hata kama ana ukwasi mkubwa!.

Tuendelee kutegemea tuu mgombea kukidhi sifa na vigezo, mfano kwenye ubunge wa Bunge la JMT, kwa upande wa elimu sifa ni mtu kujua kusoma na kuandika tuu, hivyo hata darasa la 7 anaweza kuwa Mbunge mzuri tuu wa Bunge la JMT, lakini kwenye ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, yaani EALA, wabunge wale ni wawakilishi wa nchi na sio wawakilishi wa watu, hivyo wawakilishi wetu, ni lazima wawe na sifa za ziada za kwenda kuwakilisha nchi na sio tunapeleka baadhi ya wabunge mabubu, ambao michango yao haionekani kwenye hansard zozote za Bunge hilo, wakati baadhi ya majirani zetu, wanatamba kwenye bunge hilo, utadhani Watanzania, hatuna uwakilishi!.

Nikijotolea tena mfano mimi mwenyewe, katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari, kuna mengi niliandika, niliotangaza, na nilioshauri, yamelisaidia taifa langu, naomba kwa sasa niyasitaje wala kuyaorodhesha, nisije nikaonekana najifagilia.

Katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari as nobody, kuna mengi nimeshauri, yalifuatwa yamesaidia, yaliyopuuzwa matokeo tunayajua, hivyo kila kunapotokea ushauri mzuri wa kusaidia na ukapuuzwa na matokeo ya kupuuzwa huko ni majanga, na kuishia kuumia, sasa nimefikia uamuzi wa kuendelea kuumia basi!, nimeamua kujitosa ili kusaidia nchi yangu.

Sasa baada ya miaka 30 ya uandishi wa habari as nobody kuna vitu nimeshauri kwa kuaandika, na kutangaza na vikapuuzwa simply because I was nobody!. Unapojitolea kusaidia mambo as nobody na mengine yakapuuzwa na kuleta majanga unaumia sana!. Sasa kumetokea fursa ya kuwa somebody, nimejitathmini na kujiona, kwa sasa mimi kama mwanasheria, na wakili, kuna mahali nitaweza kulisaidia zaidi taifa langu, kuliko hata hiki ninachofanya kwenye sekta ya habari.

Hatua ya kwanza ni kubadili status ya kutoka kuwa nobody na kuwa somebody, hivyo nitakuwa na uwezo mkubwa kubisha hodi na kuingia popote kushauri, ikiwemo kumsaidia Rais wa JMT, ambako ni kulisaidia taifa.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT anaweza kushauriwa vyovyote na yeyote, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi, yeye kama yeye, na sio lazima, apokee ushauri wa yeyote.

Ukijitolea kumshauri rais wa JMT jambo lolote, katika ushauri huo, weka na matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wako huo, hivyo ukitoa ushauri, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako, ushauri wako usipofuatwa, hiyo sasa sio juu yako, ila unaweza kuyatumia matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri huo kama shamba darasa ili next time ukitoa ushauri, uzingatiwe.

Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
  • Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea awamu ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndie wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, na wale mabubu, wakatwe, watupe pembeni. Hizi sio zama za uwakilishi wa mabubu kwenye uwakilishi wa nchi!.
  • Watu wapya waliojitokeza kutaka kutuwakilisha, kila mmoja apeleke a write up hata ya page 2, yenye kueleza ajenda za nchi anazotaka kwenda kuzipigania kwenye EALA na kupewa dakika 5 za kujieleza kwa lugha ya Kiingereza safi kilicho nyooka!. Moja ya sababu za baadhi ya wawakilishi wetu kuwa mabubu kwenye mijadala ya kuchangia hoja za Bunge la EALA, ni Lugha.
Maadam mimi mwandishi wenu wa makala hizi za kwa Maslahi ya Taifa, nina jinasibu kuwa ni Mzalendo, nina uwezo, yaani ability na niko capable, kwa maana ya capability, kuna siku nitauzungumzia uzalendo, uwezo wangu wa ability na capability but not now, nisije tafsiriwa kuwa ni kujipigia Debe, kwasababu humo ndani ya utitiri huo, nami nimo!.

Unaionaje ushauri huu?.

Karibuni.

Paskali.
Watuletee shyrose bhanji
 
Huyu ni mzalendo asiekua na hela...😂😂😂
Wazalendo wote wa Nyerere type ndivyo tulivyo. Hata Mwalimu ile nyumba ya Butiama asingejengewa na serikali, sijui ingekuwaje!. Enzi hizo kuwa na mali was a disqualifications, siku hizi, ukwasi ndio qualification No. 1.!.

P
 
Ili uweze kupata nafasi hakikisha una godfather ndani ya kikao cha maamuzi, la sivyo utalia na kusaga meno.

Technically know who ndio mpango mzima CCM. Hata kama una uwezo na ushawishi kiasi gani kama huna mtu anayekujua kwenye vikao vya maamuzi ambaye atatetea jina lako basi sahau mkuu.
Mkuu Mega Mind Nyerere, mimi ni muumini wa ukweli na uwazi, na ndicho kitu ninachokifanya ndani ya chama changu CCM, we can afford kumpitisha mgombea yoyote mwenye sifa zozote kwenye ubunge na udiwani, but not in EALA!. Tunataka CCM ishindanishe sifa na vigezo na sio mambo ya Godfather!.

Wagombea tumefika 186!, kama kila mtu atalobby na kuwa na Godfather, watapitishwa wangapi wakati nafasi za CCM ni 6 tuu?!. Kiukweli kabisa, kwenye Eala huko nyuma, tulifanya makosa, lakini EALA ya sasa inayokwenda ku implement AfCFTA, na mtanganano wa Afrika Mashariki, kiukweli kabisa, tunahitaji wawakilishi wazuri wenye elimu, sifa uwezo na exposure bila kujali mambo ya u Godfather.
Pasco
 
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.

Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.

Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa ni uzalendo wa mtu kwa taifa lake na kujitoa kwake kutumikia jamii, Lakini sasa sifa kuu ya uongozi ni kiwango cha ukwasi mtu alionacho na kiasi gani anaweza kugawa kwa wajumbe na kukichangia chama!. Hivyo ili kumpima mtu kiwango cha ukwasi wake, baadhi ya vyama vimeweka viwango vya juu vya fedha za kujaza fomu kuanzia milioni 1 hadi milioni 5 kwa baadhi ya nafasi, ila kama wewe ni hohehahe mwenzagu na mimi, huna kitu!, pita mbali kabisa na uongozi wa umma!.

Kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Eala, nimeshuhudia utitiri wa wagombea zaidi ya 100 Kuwania nafasi 9 za uwakilishi!.

Hivyo mimi kama Mtanzania Mzalendo, Natoa mchango wangu kuhamasisha uzalendo, kwa chama changu, na nchi yangu, Kwa swali moja muhimu, jee turudishe mtindo wa kuwatafuta wazalendo wa kweli wa Nchi hii, ndio wateuliwe kwenye uongozi wa umma hata kama hawana kitu, au tuendelee kuwateua wenye kitu ndio watuwakilishe hata kama hawana uwezo?.

Bandiko hili ni Bandiko elimishi la kukikumbusha chama changu CCM kututeulia watu wenye uzalendo wa kweli, kipimo cha Uzalendo wa kweli, ni mapenzi ya kweli na ya dhati kuitumikia nchi yako na Ikibidi, kuutoa uhai wako kuifia nchi yako!. Ukiona jina la mtu yoyote, anataka uongozi wa umma, kabla hata hatujajua uwezo wake, swali letu la kwanza liwe ni Jee mtu huyu ni Mzalendo wa kweli wa taifa hili?. Uzalendo wake ni upi?. Ndipo tuje kwenye jee ana sifa na vigezo?, na la mwisho ni liwe, jee ana uwezo?. Huu uwezo unapimwa kwa ameishawahi kufanya nini?.

Mtu akitaka uongozi wa umma, afanyiwe kwanza uzalendo test, akipita ndio atauliwe hata kama hana fedha na akifeli atoswe hata kama ana ukwasi mkubwa!.

Tuendelee kutegemea tuu mgombea kukidhi sifa na vigezo, mfano kwenye ubunge wa Bunge la JMT, kwa upande wa elimu sifa ni mtu kujua kusoma na kuandika tuu, hivyo hata darasa la 7 anaweza kuwa Mbunge mzuri tuu wa Bunge la JMT, lakini kwenye ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, yaani EALA, wabunge wale ni wawakilishi wa nchi na sio wawakilishi wa watu, hivyo wawakilishi wetu, ni lazima wawe na sifa za ziada za kwenda kuwakilisha nchi na sio tunapeleka baadhi ya wabunge mabubu, ambao michango yao haionekani kwenye hansard zozote za Bunge hilo, wakati baadhi ya majirani zetu, wanatamba kwenye bunge hilo, utadhani Watanzania, hatuna uwakilishi!.

Nikijotolea tena mfano mimi mwenyewe, katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari, kuna mengi niliandika, niliotangaza, na nilioshauri, yamelisaidia taifa langu, naomba kwa sasa niyasitaje wala kuyaorodhesha, nisije nikaonekana najifagilia.

Katika miaka yangu 30 ya uandishi wa habari as nobody, kuna mengi nimeshauri, yalifuatwa yamesaidia, yaliyopuuzwa matokeo tunayajua, hivyo kila kunapotokea ushauri mzuri wa kusaidia na ukapuuzwa na matokeo ya kupuuzwa huko ni majanga, na kuishia kuumia, sasa nimefikia uamuzi wa kuendelea kuumia basi!, nimeamua kujitosa ili kusaidia nchi yangu.

Sasa baada ya miaka 30 ya uandishi wa habari as nobody kuna vitu nimeshauri kwa kuaandika, na kutangaza na vikapuuzwa simply because I was nobody!. Unapojitolea kusaidia mambo as nobody na mengine yakapuuzwa na kuleta majanga unaumia sana!. Sasa kumetokea fursa ya kuwa somebody, nimejitathmini na kujiona, kwa sasa mimi kama mwanasheria, na wakili, kuna mahali nitaweza kulisaidia zaidi taifa langu, kuliko hata hiki ninachofanya kwenye sekta ya habari.

Hatua ya kwanza ni kubadili status ya kutoka kuwa nobody na kuwa somebody, hivyo nitakuwa na uwezo mkubwa kubisha hodi na kuingia popote kushauri, ikiwemo kumsaidia Rais wa JMT, ambako ni kulisaidia taifa.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT anaweza kushauriwa vyovyote na yeyote, lakini kwenye kufikia maamuzi, rais atafikia maamuzi, yeye kama yeye, na sio lazima, apokee ushauri wa yeyote.

Ukijitolea kumshauri rais wa JMT jambo lolote, katika ushauri huo, weka na matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wako huo, hivyo ukitoa ushauri, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako, ushauri wako usipofuatwa, hiyo sasa sio juu yako, ila unaweza kuyatumia matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri huo kama shamba darasa ili next time ukitoa ushauri, uzingatiwe.

Kwa vile mchakato wa kuwapata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, umetangazwa, nashauri ili taifa lipate wawakilishi wazuri na makini, tufanye mambo mawili yafuatayo
  • Kwa waliokuwa wawakilishi wetu kwenye Bunge hilo ambao wanataka kuwania kuendelea awamu ya pili, waulizwe katika uwakilishi wao, ndani ya Bunge hilo kwa miaka 5 iliyopita, wamechangia nini na wamelisaidia nini taifa?. Taarifa zao ziandamane na uthibitisho wa hansard ya Bunge hilo, ili wale waliotuwakilisha vizuri, ndie wapewe fursa ya kugombea kipindi cha pili, na wale mabubu, wakatwe, watupe pembeni. Hizi sio zama za uwakilishi wa mabubu kwenye uwakilishi wa nchi!.
  • Watu wapya waliojitokeza kutaka kutuwakilisha, kila mmoja apeleke a write up hata ya page 2, yenye kueleza ajenda za nchi anazotaka kwenda kuzipigania kwenye EALA na kupewa dakika 5 za kujieleza kwa lugha ya Kiingereza safi kilicho nyooka!. Moja ya sababu za baadhi ya wawakilishi wetu kuwa mabubu kwenye mijadala ya kuchangia hoja za Bunge la EALA, ni Lugha.
Maadam mimi mwandishi wenu wa makala hizi za kwa Maslahi ya Taifa, nina jinasibu kuwa ni Mzalendo, nina uwezo, yaani ability na niko capable, kwa maana ya capability, kuna siku nitauzungumzia uzalendo, uwezo wangu wa ability na capability but not now, nisije tafsiriwa kuwa ni kujipigia Debe, kwasababu humo ndani ya utitiri huo, nami nimo!.

Unaionaje ushauri huu?.

Karibuni.

Paskali.
Mkuu tafuta pesa ndio ugombee uchaguzi ccm..

CCM wanakwenda vizuri maana hata huko Kenya hakuna maskini ameshinda uchaguzi Wala kugombea..

Maskini watakuwa kama Magufuli wataharibu kila kitu na kujisifu kwa wajinga na cheap politics.
 
Back
Top Bottom