The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Hivi maprofesa wa CCM unawaona ni watu wenye akili sawa-sawa kweli while wanasema wazi wameokotwa dampo?Prof hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
kaa kwa tulia sindano ikungie vizuri.Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Mhhh. Phd holder mwenzake nae tumbo moto huko DodomaProf. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
Lisu anatafuta kiki!Mhhh. Phd holder mwenzake nae tumbo moto huko Dodoma
Unanikumbusha Kapuya, Magembe, Tibaijuka, Msola, Kabudi, Wengi wanakipande cha ujinga fulani!Hivi maprofesa wa CCM unawaona ni watu wenye akili kweli?
hawa maprofesa mnaowaokota jalalani ni maprofesa ubwabwa.Wapinzani wanatapa tapa tu yan Prof akosee kujaza fomu!. Mmh kwanza huyu si alimtukan prof kule twitter
Prof wa sociology. Mwanaume kusoma HKL napo kipaji.Prof. hawezi kosea kujaza fomu. Bonny anaweweseka!
Wewe una elimu gani hapo ulipo ? Acha dhihaka mkuu!hawa maprofesa mnaowaokota jalalani ni maprofesa ubwabwa.
Mungu wa Yacob na Isack akusamehe, hujafa hujaumbika ndugu yangu.Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Kwani Tundu Lisu alisoma nini kule A level?Prof wa sociology. Mwanaume kusoma HKL napo kipaji.